We jamaa naona unaongea kitu usichokijua Masoud ye hajaenda shule?Mkuu
Gado kaenda shule ya hii kitu kapata hadi degree...Masudi ni mwehu tuu!
Gado kiingereza ni 100%...check katuni zake nadhani zilishaenda hadi New York Times,kitu kama hicho!
Mchizi ni mikosi.....
Masudi mkuu ni way below him,it is even not fair comparison!
We jamaa naona unaongea kitu usichokijua Masoud ye hajaenda shule?
We jamaa unasema tu,hukumbuki Masoud walimteka unajua walimpa maonyo gani......lkn pia kumbuka kuna watu walishatekwa mmekemea mara ngapi hao watu wamerudi au hata maiti zao mmeziona?
Ndio maana nimekwambia hujui unachokisema,yaani unamaanisha Masoud hajaenda Chuo Kikuu ambacho kiko Certified? Huenda we unamuongea mwingine maana unamuita Masudi badala ya Masoud.......fanya utafiti mzeeKaenda shule gani mzee?
Nikisema shule ni certified degree ya popular university..Masudi sijui kaenda university gani on the face of this planet earth!
Stop making jokes wewe
Hivi kwa wasanii wote wa Katuni walojaa hapa nchini ni yupi aliye na uthubutu wa kumzidi Masoud mpaka umuite stupid chicken?Mkuu kama ingekua dunia mtu akitekwa tu anaufyata jamii yake inapoonewa basi tusingepata watu muhimu duniani kama Nelson Mandela,Martin Luther King jr,Malcom X,Marcus Garvey,Ghandi,nk..
Sio kutekwa tu,watu wanauawa kabisa lakini uhuru lazima upatikane...
Mkuu ndio maana watu wanajitoa kwa jamii yao...Masudi ana platform na alot of social power lakini he is a piece of stupid chicken..
Sasa watu kama hao wasipoumwa na uchungu wa jamii yao kuonewa na kuumizwa,haki zinapobinywa yeye anakaa kimya,sisi akina nobodies kabisa tuende wapi?
Hapa kwetu kuna uthubutu wa kuchora katuni za namna hii Tatizo Wahariri wanaogopa kufungiwa magazeti yao na Wachoraji kupelekwa kusikojulikana
Hivi kwa wasanii wote wa Katuni walojaa hapa nchini ni yupi aliye na uthubutu wa kumzidi Masoud mpaka umuite stupid chicken?
Ndio maana nimekwambia hujui unachokisema,yaani unamaanisha Masoud hajaenda Chuo Kikuu ambacho kiko Certified? Huenda we unamuongea mwingine maana unamuita Masudi badala ya Masoud.......fanya utafiti mzee
Gado bado yupo Kenya, kule ndio ameamua kuhamishia makazi yake kwa sasaHivi huyu Ndugu Gado bado yuko huko Kenya???
Gado bado yupo Kenya, kule ndio ameamua kuhamishia makazi yake kwa sasa
Kila la heri mkuu endelea kubishana mi huwa siwezi kubishana na kutumia matusiMasudi ni Kiswahili
Masoud ni Kiingereza
Mbona unakuwa hewa namna hii mzee?Yaani Masudi/Masoud nayo ni ishu kweli worth talking about?
Kasoma wapi wewe raia?
Masudi hajawahi soma Form 5 na Form 6 to begin with,sasa hiyo University unayosemea itakua university ya kata ndio maana hutaki kuitaja na kasoma lini na lini maana tungeverfiy hapa online!
Ma niggaah!
"Better practice if u wanna challenge this.."..Keith Murray
Kila la heri mkuu endelea kubishana mi huwa siwezi kubishana na kutumia matusi
Mkuu mi nimeshatoka katika hilo,we endelea labda na wadau wengine mi lugha za marumbano na kejeli au kubishana huwa siwezi kabisa ndio maana huwa naamua kujitoa mapemaMkuu
Mbona hakuna matusi....au kuongea kwa hasira imekua matusi tena?
Wewe ungeweka chuo alichosoma,mwaka alioingia na kumaliza...tungeverify kama alikua Alumni just by quick click tu..
Masudi A-Level hajawahi kwenda,hana akili ya darasani kabisa..Alifeli shule!
Chuo kwa maana ya University hajawahi kwenda na kupata Degree kwa maana ya Degree!
Tena kwa humu humu TZ hilo halipo kabisa....
Im still standing with my claims labda u-prove otherwise with strong evidences!