Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

Mkuu

Gado kaenda shule ya hii kitu kapata hadi degree...Masudi ni mwehu tuu!

Gado kiingereza ni 100%...check katuni zake nadhani zilishaenda hadi New York Times,kitu kama hicho!

Mchizi ni mikosi.....

Masudi mkuu ni way below him,it is even not fair comparison!
We jamaa naona unaongea kitu usichokijua Masoud ye hajaenda shule?
 
Kaenda shule gani mzee?

Nikisema shule ni certified degree ya popular university..Masudi sijui kaenda university gani on the face of this planet earth!

Stop making jokes wewe
 
We jamaa unasema tu,hukumbuki Masoud walimteka unajua walimpa maonyo gani......lkn pia kumbuka kuna watu walishatekwa mmekemea mara ngapi hao watu wamerudi au hata maiti zao mmeziona?

Mkuu kama ingekua dunia mtu akitekwa tu anaufyata jamii yake inapoonewa basi tusingepata watu muhimu duniani kama Nelson Mandela,Martin Luther King jr,Malcom X,Marcus Garvey,Ghandi,nk..

Sio kutekwa tu,watu wanauawa kabisa lakini uhuru lazima upatikane...

Mkuu ndio maana watu wanajitoa kwa jamii yao...Masudi ana platform na alot of social power lakini he is a piece of stupid chicken..

Sasa watu kama hao wasipoumwa na uchungu wa jamii yao kuonewa na kuumizwa,haki zinapobinywa yeye anakaa kimya,sisi akina nobodies kabisa tuende wapi?
 
Tofauti yake na hawa wa hapa kwetu ni "Kutokua mchumia mtumbo"
 
Kaenda shule gani mzee?

Nikisema shule ni certified degree ya popular university..Masudi sijui kaenda university gani on the face of this planet earth!

Stop making jokes wewe
Ndio maana nimekwambia hujui unachokisema,yaani unamaanisha Masoud hajaenda Chuo Kikuu ambacho kiko Certified? Huenda we unamuongea mwingine maana unamuita Masudi badala ya Masoud.......fanya utafiti mzee
 
Mkuu kama ingekua dunia mtu akitekwa tu anaufyata jamii yake inapoonewa basi tusingepata watu muhimu duniani kama Nelson Mandela,Martin Luther King jr,Malcom X,Marcus Garvey,Ghandi,nk..

Sio kutekwa tu,watu wanauawa kabisa lakini uhuru lazima upatikane...

Mkuu ndio maana watu wanajitoa kwa jamii yao...Masudi ana platform na alot of social power lakini he is a piece of stupid chicken..

Sasa watu kama hao wasipoumwa na uchungu wa jamii yao kuonewa na kuumizwa,haki zinapobinywa yeye anakaa kimya,sisi akina nobodies kabisa tuende wapi?
Hivi kwa wasanii wote wa Katuni walojaa hapa nchini ni yupi aliye na uthubutu wa kumzidi Masoud mpaka umuite stupid chicken?
 
Hapa kwetu kuna uthubutu wa kuchora katuni za namna hii Tatizo Wahariri wanaogopa kufungiwa magazeti yao na Wachoraji kupelekwa kusikojulikana

Hivi huyu Ndugu Gado bado yuko huko Kenya???
 
Hivi kwa wasanii wote wa Katuni walojaa hapa nchini ni yupi aliye na uthubutu wa kumzidi Masoud mpaka umuite stupid chicken?

Ma nigga..(in Denzel Washington's voice in The Training Day movie")

Mkuu yaani upo very dishonest sana...

Your strong emotional attachments with Masudi such that truth and reasoning is secondary to you,then your education is excessively useless!

You cant be this speed excessive with two eyes closed towards Masudi bias!

Katika category ya political cartoon in TZ Masudi ndio the biggest platform ,tatizo hatumii platform kua critical enough to the oppressive regime we are having!Ni so passive!

Ndio maana katuni zake hazijawahi ku-cross border kama za Gado mpaka NYT!

Kwa wote waliopo nchini Masudi ndio kiongozi wa vipofu,maana wote ni vipofu,hakuna cha kusema kuna afadhali.

Wote mmekunya,halafu unasema afadhali mavi yangu mimi ni madogo kidogo ya mwenzangu hayatanuka sana kama haya mengine!What a bunch of stupids!

Tunataka Masudi atumie platform na social power yake atutetee zaidi wananchi sio kama anavyofanya kulamba wenye nchi matako!

Masudi is always a looser historically!

Kila anachofanya kinafika mahali kinakufa..nothing has ever amount to anything serious na ku-last long...

He will always be a loser working for others who have balls than him...always!
 
Ndio maana nimekwambia hujui unachokisema,yaani unamaanisha Masoud hajaenda Chuo Kikuu ambacho kiko Certified? Huenda we unamuongea mwingine maana unamuita Masudi badala ya Masoud.......fanya utafiti mzee

Masudi ni Kiswahili

Masoud ni Kiingereza

Mbona unakuwa hewa namna hii mzee?Yaani Masudi/Masoud nayo ni ishu kweli worth talking about?

Kasoma wapi wewe raia?

Masudi hajawahi soma Form 5 na Form 6 to begin with,sasa hiyo University unayosemea itakua university ya kata ndio maana hutaki kuitaja na kasoma lini na lini maana tungeverfiy hapa online!

Ma niggaah!

"Better practice if u wanna challenge this.."..Keith Murray
 
Kila la heri mkuu endelea kubishana mi huwa siwezi kubishana na kutumia matusi
 
Mbona hakuna matusi....au kuongea kwa hasira imekua matusi tena?

Wewe ungeweka chuo alichosoma,mwaka alioingia na kumaliza...tungeverify kama alikua Alumni just by quick click tu..

Masudi A-Level hajawahi kwenda,hana akili ya darasani kabisa..Alifeli shule!

Chuo kwa maana ya University hajawahi kwenda na kupata Degree kwa maana ya Degree!

Tena kwa humu humu TZ hilo halipo kabisa....

Im still standing with my claims labda u-prove otherwise with strong evidences!
 
Mkuu mi nimeshatoka katika hilo,we endelea labda na wadau wengine mi lugha za marumbano na kejeli au kubishana huwa siwezi kabisa ndio maana huwa naamua kujitoa mapema
 
Gado Noma sanaa
1540556587810.png
1540556587810.png
 
Back
Top Bottom