Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

Ameshindwa kutumia vizuri silent language a.k.a tungo tata
 
Apewe kesi ya jinai, hiyo dhiaka kwa Raisi
 
It's always starts slow like a fungus. But pretty soon neighbour turns on neighbour.
 
Inanikumbusha zamani kidogo kuna waziri mmoja akiitwa Nyanda......naye alijaribu sana "kupambana" na wachora katuni bila mafanikio.

Ngoja tuone.....ni ugaidi, uhujumu uchumi ama nini!
Yule Waziri tulimchora hatare nakumbuka.

Enzi hizo nachorea gazeti la Watu.
 
Yameanza Upyaaaaaaaa !!
 
Kila mchoraji ana style yake.
Kwa mfano Gado wa DW huwa anatoa ujumbe straight pia
Sasa lazima uwe na akili ya kutofautisha mazingira uliyopo German vs Tz tofaut kabisa utaishia kuumia tu
 
Hii nchi tangu ianze kuongozwa na vilaza imekuwa ya hovyo sana. Natamani kuishi nje ika basi tu
 
Sasa lazima uwe na akili ya kutofautisha mazingira uliyopo German vs Tz tofaut kabisa utaishia kuumia tu
Kwa nini tukiwachora upinzani with direct punch hakuna kushughulikiwa?

Hata sisi tunastuka sasa. Kutumika kukandamiza upande mmoja HATUTAKI.

Tutaendelea kubalansi katuni zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…