In the Court hiyo ni kitu laini labda wangemteka na kumuua tu Ila mahakamani mama hatoboi sanasana anajidhalilisha maana kila mtu ambaye hajaona hiyo katuni Sasa anataka kuiona.Kama katuni yenyewe ndiyo hii basi hakuna namna,wacha ashikishwe adabu kidgo
Lazima ajifunze kuheshimu mamlaka
Labda hiyo napo hawatachomoa maana watahitajika kutoa tafsiri ya hiyo katuni ili kuprove makosa ya huyo msanii na hapo ndio patamu.Hawa Polisi wetu hawachelewi kumfungulia Kesi ya uchochezi au kukutwa na madawa ya kulevya au uhujumu uchumi na money laundering.
Subiri uone
Sheria ipo,ila Hakuna Wa kuwawajibisha!Sheria ipo sema wanaifumbia macho
Sio mama ni mtoto mwenye shida ya "mdomo wa sungura"Hii kesi wanaenda kujidhalilisha tena mahakamani. Katuni imechorwa mwanamke anachezea maji nyuma yake Kuna jamaa ameandikwa neno KIWETE mgongoni hapo unaweza kutoa kila aina ya tafsiri.
Hii wanapoteza muda na kumsumbua kijana wa watu.
Hii picha ina tafsiri kubwa sana. Naomba tutafakari hapa kwa pamoja.
Na kuna sauti imepunguzwa hadi mwisho.Hii picha ina tafsiri kubwa sana. Naomba tutafakari hapa kwa pamoja.
1. Dishi lina bendera ya Tanzania na lina maji. Hapa anawakilisha nchi ya Tanzania na watu wake.
2. Mwenye nguo nyeusi ni mzazi na mwenye kilemba ni mtoto. Huyo mtoto anachezea maji ndani ya dishi. Hapa inaeleweka zaidi.
3. Maji yanakanyagwa na mtoto mwenye kilemba pamoja na mtu wa nguo nyeusi. Yaani hapa sheria za nchi zinasiginywa/kukanyagwa.
4. Mtu wa nguo nyeusi anawaambia wananchi watulie nchi inaongozwa vizuri. Hapa anawatoa hofu wananchi ya kuwa kila kitu kipo pouwa kabisa, hivyo waondoe maulizo na mishangao..
5. Wananchi wameshika vichwa vyao. Inaonekana wananchi hawamuelewi kabisa huyo mtu, yaani wanashangaa na kujiuliza bila ya majibu yoyote.
Mkuu unaonaje upewe nafasi kwenye jopo la wanasheria wanaomtetea mtuhumiwa...kama kawaida hii kesi inaenda kuwadhalilisha zaidi mapolisi!Hii picha ina tafsiri kubwa sana. Naomba tutafakari hapa kwa pamoja.
1. Dishi lina bendera ya Tanzania na lina maji. Hapa anawakilisha nchi ya Tanzania na watu wake.
2. Mwenye nguo nyeusi ni mzazi na mwenye kilemba ni mtoto. Huyo mtoto anachezea maji ndani ya dishi. Hapa inaeleweka zaidi.
3. Maji yanakanyagwa na mtoto mwenye kilemba pamoja na mtu wa nguo nyeusi. Yaani hapa sheria za nchi zinasiginywa/kukanyagwa.
4. Mtu wa nguo nyeusi anawaambia wananchi watulie nchi inaongozwa vizuri. Hapa anawatoa hofu wananchi ya kuwa kila kitu kipo pouwa kabisa, hivyo waondoe maulizo na mishangao.
5. Wananchi wameshika vichwa vyao. Inaonekana wananchi hawamuelewi kabisa huyo mtu, yaani wanashangaa na kujiuliza bila ya majibu yoyote.
Sema .... kama anavyoliwa baba yako.... kina mama hebu tuacheni kidogo.Kama anavyoliwa maza'ako?
Mwenye nguo nyeusi ki KIWETE how can they prove otherwise in courtHii picha ina tafsiri kubwa sana. Naomba tutafakari hapa kwa pamoja.
1. Dishi lina bendera ya Tanzania na lina maji. Hapa anawakilisha nchi ya Tanzania na watu wake.
2. Mwenye nguo nyeusi ni mzazi na mwenye kilemba ni mtoto. Huyo mtoto anachezea maji ndani ya dishi. Hapa inaeleweka zaidi.
3. Maji yanakanyagwa na mtoto mwenye kilemba pamoja na mtu wa nguo nyeusi. Yaani hapa sheria za nchi zinasiginywa/kukanyagwa.
4. Mtu wa nguo nyeusi anawaambia wananchi watulie nchi inaongozwa vizuri. Hapa anawatoa hofu wananchi ya kuwa kila kitu kipo pouwa kabisa, hivyo waondoe maulizo na mishangao.
5. Wananchi wameshika vichwa vyao. Inaonekana wananchi hawamuelewi kabisa huyo mtu, yaani wanashangaa na kujiuliza bila ya majibu yoyote.
Ndugu EINSTEIN112 mimi hata sijui sheria kabisa. Ninajua tu kutumia smartphone baada ya kujifunza kuziMwenye nguo nyeusi ki KIWETE how can they prove otherwise in court
Acha uoga mkuu unaogopa kukamatwa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu EINSTEIN112 mimi hata sijui sheria kabisa. Ninajua tu kutumia smartphone baada ya kujifunza kuzi
Hongera kwa kusifia mvua.Tena wamle masaburi kabisa huyo, hana adabu!
Halafu Hakuna kuwajibika,mtu unamshikilia zaidi ya siku 10 kinyume na sheria halafu maisha yanaendelea tu!Jeshi letu linaongoza kwa kukiuka sheria!
Mimi ningependekeza itungwe sheria kila mtuhumiwa anapofikishwa mahakamani basi swali LA kwanza kutoka kwa Hakimu/Jaji liwe amekamatwa lini ?Kama muda umezidi saa 48 basi taarifa iingizwe kwenye mfumo maalum!Kianzishwe chombo cha kutrack hizi taarifa na kuwashughulikia polisi!
Ndio maana watu weusi tunaonekana kama tuna laana!Ni kutesana tu bila sababu za msingi!mkuu hii ikukumbushe nawewe mtuhumiwa mtarajiwa mwenzangu kwamba,kabla sheria haijaonyesha makali yake kupitia mahakama,basi utakuwa umeshachoka sana.
chunga sana njia zako,ohooo.
Usiwaze kama wale askari wa kitengo cha cyber ambao anachotafsri ndo kinakuwa kesi ya mtandao kiongozi huwezi kuwa na wanaokupongeza tu saa 24 lazima wapo wanao kukosoa kwa haki ama kukuonea wanakupa changamoto za kujiangalia ...watu wanampinga na kumdhihaki Mungu Mwenye wafuasi wengi Sembuse kiongozi wa nchi ?Wapuuzi sana hawa wakati mwingine, kazi ni kuzushia na kudhalilisha watu tu!
Kuna issue inazungumzwa kwamba katika msimu huu wa 6, ole wako umguse Msoga utapewa meno ili uyasageusiwaze kama wale askari wa kitengo cha cyber ambao anachotafsri ndo kinakuwa kesi ya mtandao kiongozi huwezi kuwa na wanaokupongeza tu saa 24 lazima wapo wanao kukosoa kwa haki ama kukuonea wanakupa changamoto za kujiangalia ...watu wanampinga na kumdhihaki Mungu Mwenye wafuasi wengi Sembuse kiongozi wa nchi ?