USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Jamaa alimchora mtume kama dog ,kila mtu atakufaAllahu Akbar
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alimchora mtume kama dog ,kila mtu atakufaAllahu Akbar
Hivi kuna mtu anayeijua sura ya mtume ilivyo! Hiyo Mswidi kama anaijua mpaka sura ya mtume, basi katisheer!Hata mie leo ndio nmeijua
Au hayo maandishi ya majina aloandika kwa Picha
Hahaha au alitaka tu kukera watu.Hivi kuna mtu anayeijua sura ya mtume ilivyo! Hiyo Mswidi kama anaijua mpaka sura ya mtume, basi katisheer!
Hapo inawezekana hata wanachama wa Al Qaeda waliotoa hilo wazo la 100k $ prizes walishatangulia hata kabla ya 2009Kwa hiyo kumdhihaki mtume ndo maana amekufa?
NB: only religion can brainwash the genius
Kwahiyo mtume ndio alifanana hivyo?!
Akikujibu nitagWalijuaje kuwa huyu ni mtume S.W?
Kwani kabla hajafa alihisi baridi?😝😝😝😝😝Kwahiyo anaenda motoni?
Nitukio yawezekana walilipanga na wamelikamilisha ila kwa jinsi na zijuwa nchi za wenzetu hii ngomawatajibu with same tactical... Huwo ndio ulimwengu wa kijasusi...Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko.
Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW.
===
A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died, including Swedish artist Lars Vilks, outside the town Markaryd in Sweden October 3, 2021. TT News Agency/ Johan Nilsson via REUTERS
STOCKHOLM, Oct 4 (Reuters) - Swedish artist Lars Vilks, who stirred worldwide controversy in 2007 with drawings depicting the Prophet Mohammad with the body of a dog, was killed in a car crash near the southern town of Markaryd on Sunday, police said.
Vilks, 75, who had been living under police protection since the drawings were published, was travelling in a police vehicle which collided with a truck. Two police officers were also killed.
"This is a very tragic incident. It is now important to all of us that we do everything we can to investigate what happened and what caused the collision," Swedish police said in a statement on Monday.
"Initially, there is nothing that points to anyone else being involved." Most Muslims consider any depiction of the founder of Islam as offensive.
Since the publication of the cartoons, Vilks had been living under round-the-clock police guard following threats against his life. He had a bounty put on his head and his house was fire-bombed.
In 2015, one person was killed in Copenhagen, Denmark, at a meeting meant to mark the 25th anniversary of an Iranian fatwa against British writer Salman Rushdie, which Vilks attended.
Vilks was widely seen as the intended target.
Vilks had said that the cartoons were not intended to provoke Muslims, but to challenge political correctness in the art world.
Reporting by Helena Soderpalm, Editing by Simon Johnson and Timothy Heritage
Source: Bbc Swahili