Mswedeni cartunisti Lars Vilk ambaye mwaka 2007 alichora katuni ya kumzihaki Mtume Muhammaad iliyo trend sana afariki kwenye ajali ya gari.
Huyo jamaa Mwaka 2007 alichora kibozo cha ummbo la mbwa likiwa na kichwa cha Mtume Muhammad.
Jamaa alilaumiwa na jumuiya yote ya uislam duniani.
Akahukumia fatwa na jumuiya ya uislam.
Jamaa maisha yake yalikuwa hatarini na alisakoswakoswa kuuwawa mara kadhaa.
Al qaeda walitangaza dau la dola 100,000 kwa mtu atakaye muua.
Jamaa alikuwa analindwa na polisi muda wote na hata ajali.
iliyotokea ni kati ya gari ndogo ya police aliyokuwa anatembelea kugongana na roli la mizigo uko sweden .
Dini jamani sio za uzizihaki , sijui ndio kauliwa au ni ajali ya kawaida siku zake zimefika.
Soma habari kamili kenye link hapo chini.
Two investigations are now underway, focusing on why the car crossed into the wrong lane
www.independent.co.uk