TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

😝😝😝😝😝😝😝Mleta habari kaandika kwa huzuni/hasira mchanganyiko furaha halafu anajibiwa kispotispoti!
 
Nje ya mada je, asingechora angeishi milele?

Japo alikosea sana
 
Nitukio yawezekana walilipanga na wamelikamilisha ila kwa jinsi na zijuwa nchi za wenzetu hii ngomawatajibu with same tactical... Huwo ndio ulimwengu wa kijasusi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…