TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

... apumzike kwa amani.
Mwenzako taari huyo kafa kwa laana, ww endelea na kiburi chako cha kukejeli, moto utakuanza hapahapa
 
Attachments

  • Screenshot_2021-10-04-16-31-36-039.jpg
    54 KB · Views: 5
Wenzetu wako serious kiasi chake kwenye kulinda raia wake.

Toka 2007 mpaka leo mtu analindwa na polisi kisa anatishiwa kuuwawa.

Sisi tunajitahidi kuwalinda tembo na faru Kwa u-serious huo dhidi ya poachers.

Je suis Charlie!
Na kafa… right

Mlinzi ni Mungu tu
 
Nchi za wenzetu uzalilishaji unalipa sana hadi anatembelea gari ya polisi
 
Nchi za wenzetu uzalilishaji unalipa sana hadi anatembelea gari ya polisi

sio uzalilishaji unalipa. kwa mtazamo wangu ni uhuru wa habari na haki ya kuishi ndiyo inazingatiwa sana
 
Ukiangalia vizuri hiyo catoon huyo anayedaiwa kuwa ni Mtume kafanana na Osama Bin Laden. Kwa hiyo mchoraji alichora kwa kujaribu kumfananisha Mtume na mmoja ya waislam maarufu duniani kwa wakati huo. Na alikuwa Bin Laden.
 
sio uzalilishaji unalipa. kwa mtazamo wangu ni uhuru wa habari na haki ya kuishi ndiyo inazingatiwa sana
Ivi uhuru wa habari ndio kukejeli dini za watu ?? Bakora zinaanza hapahapa duniani akhera ni mahesabu tu, endelezeni chuki zenu, alianza baba yenu firauni kuikashifu dini ya Kiislamu na mpaka leo history inamtafuna, wajukuuzake waendelee na kiburi siku zao zinakaribia
 
Wenzetu wako serious kiasi chake kwenye kulinda raia wake.

Toka 2007 mpaka leo mtu analindwa na polisi kisa anatishiwa kuuwawa.

Sisi tunajitahidi kuwalinda tembo na faru Kwa u-serious huo dhidi ya poachers.

Je suis Charlie!
Anatishiwa kuuliwana Dini ya Amani?
 
Ukiangalia vizuri hiyo catoon huyo anayedaiwa kuwa ni Mtume kafanana na Osama Bin Laden. Kwa hiyo mchoraji alichora kwa kujaribu kumfananisha Mtume na mmoja ya waislam maarufu duniani kwa wakati huo. Na alikuwa Bin Laden.
Huawezi kumchora Mtume Muhammad coz hukumuona na humjui, hapa Idrisa alijifananiza na meko tu kilichofuata mpaka leo hawezi kurejea, heshimuni dini za watu laa siivyo mtapa mnachokitaka
 
Siyo mfaransa ni wa Sweden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…