Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
niwe muwazi nmesoma mpaka hapa tu...Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko.
Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW.
Wenzetu wako serious kiasi chake kwenye kulinda raia wake.
Toka 2007 mpaka leo mtu analindwa na polisi kisa anatishiwa kuuwawa.
Sisi tunajitahidi kuwalinda tembo na faru Kwa u-serious huo dhidi ya poacherskla
Mitume hawadhihakiwi lazima kikupate tu,Amelindwa lakini amekufa kifo cha fedheha gari lake limeungua moto,kaungua kwanza hapa hapa na anakoenda atakutana nao motoMswedeni cartunisti Lars Vilk ambaye mwaka 2007 alichora katuni ya kumzihaki Mtume Muhammaad iliyo trend sana afariki kwenye ajali ya gari.
Huyo jamaa Mwaka 2007 alichora kibozo cha ummbo la mbwa likiwa na kichwa cha Mtume Muhammad.
Jamaa alilaumiwa na jumuiya yote ya uislam duniani.
Akahukumia fatwa na jumuiya ya uislam.
Jamaa maisha yake yalikuwa hatarini na alisakoswakoswa kuuwawa mara kadhaa.
Al qaeda walitangaza dau la dola 100,000 kwa mtu atakaye muua.
Jamaa alikuwa analindwa na polisi muda wote na hata ajali.
iliyotokea ni kati ya gari ndogo ya police aliyokuwa anatembelea kugongana na roli la mizigo uko sweden .
Dini jamani sio za uzizihaki , sijui ndio kauliwa au ni ajali ya kawaida siku zake zimefika.
Soma habari kamili kenye link hapo chini.
Muhammad cartoonist Lars Vilk killed in car crash while under police protection
Two investigations are now underway, focusing on why the car crossed into the wrong lanewww.independent.co.uk
Kutoka kwa nani?Atakipata akitakacho
Licha ya hiyo Accdent nasikia kaungua kwa moto hasa watu wabaya wanaanza kulipwa hapa hapa Jahannam iwe makazi yako.Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko.
Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW.
===
A view of a scene after an accident between a car and a lorry in which three people died, including Swedish artist Lars Vilks, outside the town Markaryd in Sweden October 3, 2021. TT News Agency/ Johan Nilsson via REUTERS
STOCKHOLM, Oct 4 (Reuters) - Swedish artist Lars Vilks, who stirred worldwide controversy in 2007 with drawings depicting the Prophet Mohammad with the body of a dog, was killed in a car crash near the southern town of Markaryd on Sunday, police said.
Vilks, 75, who had been living under police protection since the drawings were published, was travelling in a police vehicle which collided with a truck. Two police officers were also killed.
"This is a very tragic incident. It is now important to all of us that we do everything we can to investigate what happened and what caused the collision," Swedish police said in a statement on Monday.
"Initially, there is nothing that points to anyone else being involved." Most Muslims consider any depiction of the founder of Islam as offensive.
Since the publication of the cartoons, Vilks had been living under round-the-clock police guard following threats against his life. He had a bounty put on his head and his house was fire-bombed.
In 2015, one person was killed in Copenhagen, Denmark, at a meeting meant to mark the 25th anniversary of an Iranian fatwa against British writer Salman Rushdie, which Vilks attended.
Vilks was widely seen as the intended target.
Vilks had said that the cartoons were not intended to provoke Muslims, but to challenge political correctness in the art world.
Reporting by Helena Soderpalm, Editing by Simon Johnson and Timothy Heritage
Source: Bbc Swahili
Wala msitishe watu kama vile mliwahi kufika peponi. Tena inawezekana huko aliko washamaliza utani wao na Mwamedi na sasa wanapiga vyombo.Huko motoni alipo ameen[emoji120][emoji120][emoji120]
Ajali za moto zipo popote, tuache kujengea watu hofu za uongo.Mitume hawadhihakiwi lazima kikupate tu,Amelindwa lakini amekufa kifo cha fedheha gari lake limeungua moto,kaungua kwanza hapa hapa na anakoenda atakutana nao moto
Kutoka kwa nani?
Umenikumbusha "satanic verses"YUKO WAPI SULEIMAN RASHIDIE?
Kwa hiyo kumdhihaki mtume ndo maana amekufa?
NB: only religion can brainwash the genius
Hayo mambo ndio maana kuna watu wanaamini hadi leo kuwa 2pac hakufa yupo hai kajificha sijui wapi huko.Unajuaje kama ni mbinu tu wametumia ili wawapoteze waliokuwa wanaomtafuta wamuuwe? Tuseme kafa kweli, je kifo chake kimefuta kile kibonzo akilini mwa watu?
Mambo hayo ndio yale ya kuhusisha kifo cha Magufuli na kudai et Mungu kamuondoa kwa sababu alikuwa dikteta au sijui kafa kwa corona kwa sababu aliidharau corona.Mh coincidence.... siyo kwa vile alichora
Issue ya Mungu tuko pamoja, hakuna cha Mungu hapa maana kuna attrocities nyingi zimefanywa na watawala kama magufuli, lkn walidumu duniani miaka mingi sana eg Idd Amin to mention one, but there is a multitude of them; mbona hao Mungu hakuwaangamiza> After all I do question the existence of God anyaway!Mambo hayo ndio yale ya kuhusisha kifo cha Magufuli na kudai et Mungu kamuondoa kwa sababu alikuwa dikteta au sijui kafa kwa corona kwa sababu aliidharau corona.
Mtume (SAW) hakuwa na sura inayojulikana, sasa hii ilitoka wapi?Mwanzo wa uzi mpaka hapa sijaona hizo cartoons za mtume sijajua kwanini,mimi naweka liwalo na liwe.View attachment 1963590View attachment 1963589View attachment 1963590View attachment 1963590View attachment 1963589
View attachment 1963591
View attachment 1963592