Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones,
1732038236355.jpg
ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia.

Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya Kuhangaika kumuokoa kwa Masaa zaidi ya 28 bila mafanikio kwani waliokuwa wanazamia kumvuta walikua wakizidisha maumivu na kumsukumia ndani zaidi Kwa Masikitiko Makubwa, pango hilo lilifukiwa kabisa huku John akiwa bado ndani. Wakati huo, mke wake alikuwa mjamzito na mtoto wao wa pili.

Ukiangalia kwa Karibu unaona ni maumivu kiasi gani jamaa alipitia akiwa amekwama huko pangoni alikufa akiwa anajiona kabisa.
 
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones,View attachment 3156387 ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia.

Alienda kufanya nn huko kwenye pango
 
Inasikitisha sana,niliwahi kusoma hiki kisa sehemu, lakini kwenye picha hapo kuna jamaa kama alimfikia, je jamaa huyo aliyeenda kumuokoa alitolewaje,

Humo wangemwaga kama ni oil ama lubricant yoyote ya kutosha, kisha huyo wa karibu angemfunga kamba, kisha wakamvuta.

Kuna vitu maishani kamwe siwezi jaribu kuvifanya
 
Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones,View attachment 3156387 ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia.

Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya Kuhangaika kumuokoa kwa Masaa zaidi ya 28 bila mafanikio kwani waliokuwa wanazamia kumvuta walikua wakizidisha maumivu na kumsukumia ndani zaidi Kwa Masikitiko Makubwa, pango hilo lilifukiwa kabisa huku John akiwa bado ndani. Wakati huo, mke wake alikuwa mjamzito na mtoto wao wa pili.

Ukiangalia kwa Karibu unaona ni maumivu kiasi gani jamaa alipitia akiwa amekwama huko pangoni alikufa akiwa anajiona kabisa.

Alienda kutafuta nini huko? Maana ni sehemu hatarishi sana na naamini hakuwa na idea anaingia kwenye shimo kama hilo.
Huyo lazima atakuwa mfuasi wa Renamo. Frelimo hawako hivyo
 
Back
Top Bottom