Wasifanye hii kitu, majanga.Kuna dalili za milango kuwa wazi siku hiyo..yaani free
Mafanikio ni kuchukua ndoo.. π π Nje ya hapo ni ushiriki kama ushiriki mwingine tuKwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club πͺ
Yaani mwaka huu hatulali kisa hiyo Fainali yenu ya Shirikisho, endeleeni kututia hasira ili Mwakani iwe tucheze fainali ya Klabu Bingwa ππͺmafanikio ni kuchukua ndoo.. π π nje ya hapo ni ushiriki kama ushiriki mwingine tu
π π tunawaaminia Thimbaa mwakani mnachukua ndoo kabithaYaani mwaka huu hatulali kisa hiyo Fainali yenu ya Shirikisho, endeleeni kututia hasira ili Mwakani iwe tucheze fainali ya Klabu Bingwa ππͺ
Kabisa, hata mwaka huu ilikuwa tunacheza fainali kabisa iwapo tungemfunga mabao 2+ yule W/Casablanca hapa nyumbaniπ π tunawaaminia Thimbaa mwakani mnachukua ndoo kabitha
sema mlitoka kiume sanaa π πKabisa, hata mwaka huu ilikuwa tunacheza fainali kabisa iwapo tungemfunga mabao 2+ yule W/Casablanca hapa nyumbani
watani hongera tuwkilisheni vyema #simba daimaMchuano ni mkali Sanaaaaaa Hapa tickets 20,000 zimemalizika Sijahesabu zile 10,000 BMT , za mama , za mkuu wa mkoa wa dar View attachment 2633512View attachment 2633513View attachment 2633514View attachment 2633515
Hahaha............naona zamu yenu kunenepa na Yanga yenu πsema mlitoka kiume sanaa π π
π π π Thimbaa ni timu kubwaa sanaa.. vikombe vidogo vidogo kwake sio issue kabisaHahaha............naona zamu yenu kunenepa na Yanga yenu π
DongeSisi tuna mipango yenye dira, maana kufika robo fainali 4 katika miaka yetu 5 sio jambo rahisi.
Ninyi mmeangukia pua mara zote hizo ndiyo mmetokea kwenye Shirikisho
Hahaha...........niache nipunguze machungu π
Subiria Mwakani tuwaoneshe kazi Champions league πͺπ π π Thimbaa ni timu kubwaa sanaa.. vikombe vidogo vidogo kwake sio issue kabisa
Nawaaminia sanaa π π π mwakani ndoo zote zenu wataniSubiria Mwakani tuwaoneshe kazi Champions league πͺ
Utabiri wanguWacha kutugombanisha Mkuu, unajua tukisema tuwavunjie nazi hiyo fainali yenu mtaishia kupigwa nje ndani.
Sisi ni Kaka zenu kwa mafanikio ya Kimataifa πͺ
Na iwe hivyo walau kelele zipungue hapa mjiniUtabiri wangu
===================
Young African 0 - 2 USM
FT
===================
Na iwe hivyo Mkuu πͺNawaaminia sanaa π π π mwakani ndoo zote zenu watani