Mchuano wa kununua tiketi za fainali ni mkali sana

Mchuano wa kununua tiketi za fainali ni mkali sana

Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club 💪
Mafanikio ni kuchukua ndoo.. 😅😅 Nje ya hapo ni ushiriki kama ushiriki mwingine tu
 
Tatizo yataingia majitu yamevaa suti au nguo za kanisani badala ya rangi za njano na kijani na kujaribu picha. Kama unaona wenzako wanashughuli iwe harusi, kwaya, au hata kikundi chochote kimevaa sare wewe kwa majazba yako unaenda kujiweka katikati na kujaribu picha. Muda ni mrefu nunua hata la mtumba lakini Bora liwe na hizo rangi zao
 
Halafu tabia ya dume Zima unapuliza mivuvuzela ya watoto badala ya kuimba kwa sauti ni ya hovyo Sana. Vuvuzela halina key unakuta mtu analilazimisha kuimbia kama tarumbeta na kusababisha kelele na kuwahamisha tune wanaoimba
 
Wacha kutugombanisha Mkuu, unajua tukisema tuwavunjie nazi hiyo fainali yenu mtaishia kupigwa nje ndani.

Sisi ni Kaka zenu kwa mafanikio ya Kimataifa 💪
Utabiri wangu
===================

Young African 0 - 2 USM

FT
===================
 
Back
Top Bottom