Timu 15 zenye mafanikio kimataifa unasema hauokosi Simba, kwa makombe mangapi aliyabeba ya CAF mpaka awe kwenye timu 15 zenye mafanikio? Au unadhani kuwa kwenye caf rank ndio mafanikio hayo?Kwani nyie tangu mmeanza kucheza Kimataifa si mlikuwa mnaishia makundi Mkuu, sisi kila Mwaka graph yetu inazidi kupaa ndiyo maana ukizitaja Klabu 15 zenye mafanikio Kimataifa basi Huikosi Simba Sports Club [emoji123]
Mbona haipo Yanga kwenye hizo ranks kama unadhani rahisi hivyo 😅Timu 15 zenye mafanikio kimataifa unasema hauokosi Simba, kwa makombe mangapi aliyabeba ya CAF mpaka awe kwenye timu 15 zenye mafanikio? Au unadhani kuwa kwenye caf rank ndio mafanikio hayo?
Mangungu alikuwa sahihi kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi. Kama mashabiki ndio mnaridhika na vitu vidogo kama hivyo na mwisho rank zenu hazina maana. Yanga akibeba kombe atakuwa kawaacha mbali kwenye mafanikio na mbakie kutamba na kombe la rannkMbona haipo Yanga kwenye hizo ranks kama unadhani rahisi hivyo [emoji28]
Nawaombea mshinde na kuleta heshima ya Nchi.Mangungu alikuwa sahihi kuwaletea Manzoki kwenye uchaguzi. Kama mashabiki ndio mnaridhika na vitu vidogo kama hivyo na mwisho rank zenu hazina maana. Yanga akibeba kombe atakuwa kawaacha mbali kwenye mafanikio na mbakie kutamba na kombe la rannk