Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina-lillah. Pole sana mzee. Mungu amlaze marehemu pahala pema.Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.
Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi.
RIP mzazi wa mwenzetu.
Mwenzetu "Mchukia Fisadi" amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo na yuko safarini kuelekea Bukoba kwenye mazishi.
Kanifahamisha nami nikaona ni vyema kuwafahamisha. Wale wenye namba yake ya simu mnaweza kuwasiliana naye kwa maelezo zaidi.
RIP mzazi wa mwenzetu.