Mkuuu Mchukia Fisadi,
Pole kwa msiba mzito,Mwenyezi Mungu akupe nguvu.Yeye katangulia mbele ya haki,nasi tupo njiani na ipo siku tutakutana.
Cha msingi ni kuendelea kumuomba Mungu atupe Moyo wa Ujasiri,ili lengo letu hapa Dunia kulingana na Mapenzi yake Mola liweze kutimia.
Tupo wote katika majonzi ndugu,
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa.Jina la Bwana Lihimidiwe.