Mchukia Fisadi kafiwa

Mchukia Fisadi kafiwa

Status
Not open for further replies.
Pole sana Bro!! Na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki, (Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe) Poleni sana wafiwa.
 
Pole sana mchukia ufisadi. Aliyetoa amechukua, Enzi apewe Yeye, amina.
 
Pole sana Mkuu, mwenyezi akujalie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Kwani wote tupo njia moja.
 
Mkulu MF, sorry to hear this bro, stay strong na kumbuka we are here for each other, ukihitajika msaada usisite kusema, tunakuombea safari njema na utakaporudi turudishie habari ikibidi.

God be with you bro.
 
Mkuuu Mchukia Fisadi,

Pole kwa msiba mzito,Mwenyezi Mungu akupe nguvu.Yeye katangulia mbele ya haki,nasi tupo njiani na ipo siku tutakutana.
Cha msingi ni kuendelea kumuomba Mungu atupe Moyo wa Ujasiri,ili lengo letu hapa Dunia kulingana na Mapenzi yake Mola liweze kutimia.

Tupo wote katika majonzi ndugu,

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa.Jina la Bwana Lihimidiwe.
 
Pole kwa matatizo haya.Nakutakia moyo wa subira
 
Pole kaka Mchukia Fisadi, Tupo pamoja na Mungu akupe nguvu.

RIP beloved Father
 
Pole sana bro MF. Hii ni njia yetu sisi sote na tujiweke tayari kwani hatujui siku wala saa. Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe. Roho mtakatifu awe dereva wa vyombo vya moto vya wale ndugu na jamaa watakaosafiri kwa ajili ya msiba huu.
 
Pole sana mpambanaji kwa msiba huu mzito. Mungu awape faraja wewe na familia yenu yote.

Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi, Amina
 
Pole sana, Mkuu! Najua maneno hayatabadili kilichotokea lakini pengine yatasaidia kukuonyesha kuwa hauko peke yako kwenye msiba huo. Tuko nawe katika maombi yetu.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Na awape nguvu za kuendelea bila kuwa naye.

Amandla.....
 
Pole Sana MF. Namwomba Mwenyezi Mungu Ailaze Pahali Pema Peponi Roho Ya Mzazi Wako. Amina.

SteveD.
 
pole sana ndugu yetu MF. Mungu aliyetoa ameamua kuchukua, sote ndiyo njia yetu, hatuna mbadala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom