Mchukia Fisadi kafiwa

Status
Not open for further replies.
Pole MF yote ni mapenzi ya mungu innalillah Wainna ilayhi rajeeun.Mungu akupe nguvu na faraja.
 
Ndugu yetu MF, pole sana kwa mazito haya yaliyo mbele yako.... Pole zetu pia kwa wanafamilia, jamaa na marafiki.....

Mwenyezi Mungu awape nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu Mkuu.....
 
Pole Mpambanaji Mchukia Ufisadi, Mungu akutie nguvu wewe na nduguzo.
 
Mtumishi MF, M/Mungu akupe subira na utulivi ktk kuondokewa na mpendwa baba yetu..

Hayo ni mapenzi ya Mungu, Jina la Bwana lihimidiwe .Amen.
 
Polle sana Mkuu MF. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe. Mzee RIP.
 
Mkuu pole kwa kupoteza mzazi.
 
Hatuna namba zake za simu,tungempigia. Hata hivyo tunampa pole sana,huyu ni mpiganaji mwenzetu bwana.
 
Pole sana mkuu. Bwana ametoa, na bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe
 

Mchukia Fisadi, pole sana kwa kufiwa na Baba. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.


 
Ina-lillah. Pole sana mzee. Mungu amlaze marehemu pahala pema.
 

Pole sana brother kwa msiba mkubwa uliokufika. Namuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu, subira na faraja wewe pamoja na wote ambao msiba huu unawahusu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Mpendwa Mchukia Fisadi, Ninakutakia safari njema kutoka uliko hadi nyumbani Bukoba. Mwenyezi Mungu akuwezeshe kufika salama.

Mungu aliyemuumba mpenzi baba yako hatimaye amemrudisha kwake, Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe. Amen.

Ninawapeni pole kuanzia mama yako mzazi (kama yupo hai) dada na kaka zako na wote ambao msiba huu unawahusu. Mungu mwenyezi awape faraja wakati huu akitukumbusha wote kuwa hapa duniani tupo safarini.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi na kuwafariji waguswa na msiba huu woote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…