Mkuu unaweza kuwa hukupendezwa na alichokifanya Chama kwenda Yanga lakini ombi langu kwako kwa heshima na taadhima haya mambo mengine tuyaache iwe kweli au si kweli. Yeye bado anabaki kuwa ni baba, kaka, mjomba, mume kwa wengine. Asante kwa kunielewa mkuu.