Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

All in all SIMBA nikubwa kuliko CHAMA

Mwache aende japo akiwa unyamani walimdiss kwa kusema hana lolote cha ajabu wamemchukua akiwa maji ya shingo.
 
Hongereni ila mwambieni tu kuwa asiwe anasahau kutumia Dawa zake za VRA kwani yule Demu wake yuko Hoi sasa.
Mkuu unaweza kuwa hukupendezwa na alichokifanya Chama kwenda Yanga lakini ombi langu kwako kwa heshima na taadhima haya mambo mengine tuyaache iwe kweli au si kweli. Yeye bado anabaki kuwa ni baba, kaka, mjomba, mume kwa wengine. Asante kwa kunielewa mkuu.
 
Back
Top Bottom