Mchukueni kabisa basi na Msaliti mwingine Inonga kwani tulishawajua Siku nyingi kuwa mlikuwa mkiwatumia Kutuumiza

FB_IMG_1663146900641.jpg
 
VRA au ARV?
Wenye IQ Kubwa na wanaomuelewa haraka GENTAMYCINE akina adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume wameshanielewa. Watu wenye Akili wameshakuonya kuwa Demu huyo huyo Kammaliza Okwi, yule aliyekuwa Boss wa CECAFA Mkenya na Mchezaji Mzawa aliyeshindwa Soka la Ulaya akaishia Kuona Mke wa Pili Kawe Maringo bado unaongia tena hapo hapo kwakuwa tu ana Kalio Kubwa na anatoa Makao Makuu Makumbusho kwanini usitumie tu VRA sasa?

Kudadadeki...!
 
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA BAADA YA KUJIUNGA NA CCM: Nukuu muhimu katika Melezo ya Mchungaji:-"​

1) Uwongo na usanii wa CDM
2)Tunawaaminisha wananchi yale amabayo wenyewe hatuyafanyi
3)Tunaongea kuhusu ufisadi-ndani ya chama kuna ufisadi, tunaongea kuhusu haki, ndani ya chama hakuna haki
4) Tunapaswa kusimama tukiwa wasafi.
5)Mtu mmoja amekuwa m/kiti wa maisha, amegeuza chama kuwa ni SACCOS
6) CDM imekosa ajenda, ni kudandia dandia tu."

Mwisho wa Nukuu, nawe unasemaje- amka!
 
Wenye IQ Kubwa na wanaomuelewa haraka GENTAMYCINE akina adriz, Bila bila na Bujibuji Simba Nyamaume wameshanielewa. Watu wenye Akili wameshakuonya kuwa Demu huyo huyo Kammaliza Okwi, yule aliyekuwa Boss wa CECAFA Mkenya na Mchezaji Mzawa aliyeshindwa Soka la Ulaya akaishia Kuona Mke wa Pili Kawe Maringo bado unaongia tena hapo hapo kwakuwa tu ana Kalio Kubwa na anatoa Makao Makuu Makumbusho kwanini usitumie tu VRA sasa?

Kudadadeki...!
mwanzo mlikua hamsemi hili😂
 
Back
Top Bottom