Mchumba alinikwepa alivojua ana gonjwa sugu la zinaa

Gonjwa la zinaa likubambe bila kusikia washa washa kama ile ya maji ya Polisi ya kuzimia ghasia, imekaaje hii?

Usitupelekeshe saaana kinadharia, simulizi ziendane na ukweli kwa sababu wengine tulikuwa wahuni sana ujanani na sasa tumebaki tu kugumia tukiona vinapita.

Hauwezi kuanza kunuka bila kuwashwa, vinginevyo tatizo litakuwa kwako mwenyewe, kapime afya kabla haujaanza kutafuta wa kumrushia kihunzi.
 
Madaktari hewa wameshamtisha teyar na amepata sonona...
Ugonjwa unatibika wala sio issue huo..
 
Kwa akili zako kuna magonjwa mangap ya zinaa maana inaonekana unajua tu gono
 
Ni atar sana🙄🙄🙄
 
Pole sana kijana, mtibie mwenzio sio unawaza minyanduo tu.
Kama ulimtongoza na akakubali mpaka umshenyente kwake unaahundwa nini kumshawishi kumtibia.??
 
Kaka pole sana
Ila kuwa makini sana na hawa watoto wa mwenye asili ya kiarabu utaona mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…