Mchumba amebadilika na kuwa mlokole, sasa ni tabu tupu, bora kuoa mpagani

Pole sana na mapito hayo yote. Ukweli ndoa sehemu kubwa ni tendo la ndoa. Mwanamke anaposumbua eneo hilo huwa linaleta usumbufu kweli.

Ningeomba kama utatafakari ni kumfikiria jinsi alivobadilishwa kiakili. Kwanza kama unaweza nenda kwa yule anakosali. Akueleza maana ya ndoa inavyofundishwa kwao.

Mara nyingi kwa kutojua wanapata mafundisho potofu kuwa ukiwa mlokole hutakiwa kufurahiwa au kushiriki tendo la ndoa. Ukweli labda kama kuna tatizo lingine ambalo amejifunika kwenye ulokole wake. Biblia iko wazi sana kuhusu jambo hili.

Mwili ni wa mwanamke ni kwa mwanaume na kinyume chake pia. Tafuta watu wanaojua Biblia na washauri mambo ya ndoa wakusaidia. Pia ndoa ni zaidi ya sex. Ingekuwa utaalamu wa sex pekee ndio ndoa, basi ndoa nyingi zingevunjika.
 
Kuna magonjwa mengi sana ya akili duniani. Hilo lililompata ni mojawapo.

Sasa amua kukaa na mgonjwa wa akili ama uepukane naye mapeema.
Unforgetable

[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
No, binti hana shida kabisa. Hamjamuelewa tu. Na itawasumbua sana kumuelewa. ila nimeshamwambia mwamba akimuacha imekula kwake big time. Athubutu tu kusema suuuuuu.
Wadau tugee lokesheni na namba kama ukimuacha halafu uje ujionee maajabu baada ya muda mchache
 
M nilkuwa 23 nimeshika dini kweli na nilikuwa sijaanza kungonoka sasa nwanaume nkampata nkakaa naye almost one year ndo nkamkubali kama mpenzi sasa ishu nafanyeje sex wakati kichwan nimejaa neno la Mungu,nilimkazia badae nkaona huu usenge at 23 mwanaume atakuwa anaenda kulala na wengine m nasubir ndoa nkaona bora tuenjoy tu
 
Ukaona bora umpoteze Yesu umkeep mwanaume
 
Unaweza kuendelea kumhudumia hata baada ya kuondoka kwako mpaka atakaposimama mwenyewe. Mungu Atamsaidia na wewe utabarikiwa sana !
 
Mimi naomba muujiza utokee na wewe uangukie kwenye ulokole ili muende sawa. Hebu wote na tuseme Amen !!!
 

Mkuu umenichekesha sana. Kwamba baadaye ukaona uachie tu mzigo [emoji16][emoji16][emoji16]. Mlifika wapi baada ya hapo? Hiyo dhambi ya uzinzi kweli iliwaacha salama?
 
Huyo hata ukimuoa atamsikiliza zaidi mchungaji, Cha kufanya mwambie Kama ameokoka serious basi arudi kwao Kwanza Hadi siju utakapofunga nae ndoa ndio muanze kuishi pamoja, akitoka ndio mazima na akikataa atoe papuchino.
 
Hizo baraka unazopata ni sababu yake shukuru Mungu upo mahali salama
 
Huyo Mchungaji ana maneno yake binafsi anayomfundisha au ni maneno ya Mungu? Na kanisani tunaenda kumsikiliza Mchungaji au neno la Mungu kupitia Mchungaji?
Huyo hata ukimuoa atamsikiliza zaidi mchungaji, Cha kufanya mwambie Kama ameokoka serious basi arudi kwao Kwanza Hadi siju utakapofunga nae ndoa ndio muanze kuishi pamoja, akitoka ndio mazima na akikataa atoe papuchino.
 
Huyo Mchungaji ana maneno yake binafsi anayomfundisha au ni maneno ya Mungu? Na kanisani tunaenda kumsikiliza Mchungaji au neno la Mungu kupitia Mchungaji?
Siyo kila anayofundisha ni maneno ya mungu, mengine ni maneno yao binafsi..kwani hujawahi kusikia wachungaji wanaoharibu kondoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…