Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Nasikitishwa sana Na watu wanaokuja humu Na kushangaa.wanaosaka wachumba humu.
Leo napenda kuwatia moyo wote wanaokatishwa tamaa Na watu wachache.
Maneno yao Ni kama 'hivi umekosa mtaani,kanisani,msikitini,Sijui chuoni.??
Jibu Ni kwamba Mapenzi ama Uchumba hayana formula Ni popote Na tukumbuke karne hii Ni science Na Technology Sasa tusibeze utandawazi.
Kama Watu wanakutana humu Na kufanya biashara,kuanzisha urafiki wa kaka Dada au wa jinsia moja.Kwa nini unashangaa wachumba.
Napinga Na nitaendelea kupinga kwa nguvu zangu zote kuhusu Watu wenye Roho mbaya Na husda kuja humu love connect kukatisha Watu tamaa Mara Kuna tiss humu Mara Kuna usalama.Nani kakudanganya kwamba Watu hao wakitaka kukupata wa nashindwa mpaka watumie humu Na Je kama mlengwa Wao hajatafuta mchumba humu watamkamata vipi??
Najua wengi wa members humu Ni Ma Great Thinkers. But the way some of us acting I bet to say... You are Low Thinkers!!
Stop being a Dream killers.
Bye.