Mchumba anapatikana Popote Hata Humu.

Mchumba anapatikana Popote Hata Humu.

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Nasikitishwa sana Na watu wanaokuja humu Na kushangaa.wanaosaka wachumba humu.
Leo napenda kuwatia moyo wote wanaokatishwa tamaa Na watu wachache.
Maneno yao Ni kama 'hivi umekosa mtaani,kanisani,msikitini,Sijui chuoni.??

Jibu Ni kwamba Mapenzi ama Uchumba hayana formula Ni popote Na tukumbuke karne hii Ni science Na Technology Sasa tusibeze utandawazi.

Kama Watu wanakutana humu Na kufanya biashara,kuanzisha urafiki wa kaka Dada au wa jinsia moja.Kwa nini unashangaa wachumba.

Napinga Na nitaendelea kupinga kwa nguvu zangu zote kuhusu Watu wenye Roho mbaya Na husda kuja humu love connect kukatisha Watu tamaa Mara Kuna tiss humu Mara Kuna usalama.Nani kakudanganya kwamba Watu hao wakitaka kukupata wa nashindwa mpaka watumie humu Na Je kama mlengwa Wao hajatafuta mchumba humu watamkamata vipi??

Najua wengi wa members humu Ni Ma Great Thinkers. But the way some of us acting I bet to say... You are Low Thinkers!!
Stop being a Dream killers.
Bye.
 
sawa sawa
Thank you.MTU Labda ulifiwa,mlishindwana Na MTU .Sasa ukae ukiwa kisa utaonekana hukuwaona mtaana.Maisha hana changamoto sana.Watu wanaachana waliooana kwa kuanzia Uchumba primary .Sasa ukweli Upo wapi.Acha MTU apate mchumba popote.Kama wewe ulipata huko Ni wewe
 
Kwakweeeeeeli naamin katk Hilo mchumba popote tuuuu,msalani,msibani,msituni
 
Hakuna mahali specific pa kupata mchumba.kikubwa ni maelewano .niwengi saana wamakutana kwenye mitandao na ndoa zao zina aman na furaha tele
 
Mtu anakuja hapa anakuuliza eti "hivi huko mtaani kwenu hamna wanawake/wanaume"?

Utafikiri waliopo huku mtandaoni ni mizimu na waliopo huko mtaani hawatumii mitandao ya kijamii.
 
Mtu anakuja hapa anakuuliza eti "hivi huko mtaani kwenu hamna wanawake/wanaume"?

Utafikiri waliopo huku mtandaoni ni mizimu na waliopo huko mtaani hawatumii mitandao ya kijamii.
Huwa nashangaa sana
 
Pole sana tuko wengi humu
Huwa najiulizaga sana.Mfano Mimi Kuna majukwaa mpaka Leo sijawai yachangiaa kitu.Kwa Maana Naona kabisa hayanihusu nisije vamia nikapata shida ya moyo.Mfano Sijui Chit chat...Na sometimes ukiona nimechangia Ni Uzi ulikuwa kwenye New Post but Sio kwenda huko.

Kwa nini nimeonyesha Huo Mfano Ni kwamba kama sehemu unaona Kuna kukeraaa au hauendani napo usiende huko kuwakera ambao wanafaidika napo.Maana naamini Hata walioanzisha hii Love Connect walifanya upembuzi yakinifu.Na Sio siri Jukwaa hili limekuwa msaada kwa Watu wengi wengi sana.Wengine wapo Kimya kimya Pm wanapatana Na Wengine wanajitahidi Na kufika mbali kwa Mapenzi Na jitihada za Mwenyezi Mungu wanafunga ndoa.
Wapo Tena wengi Na Wengine tumehudhuria Na Harusi sema Wengine Sio Watu wa kupenda mambo yao yajulikane.

Sasa inastaajabisha MTU unatoka huko Bila Aibu wala soni Usoni Unaponda,unasagia!!au stress za maisha ndugu Yangu.Ebu Tulia bwana.Soma Hata magazeti .Wala haujakaribishwa humu.Tuachie wenye Jukwaa letu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
naunga mkonyo hoja mia kwa mia ila wengi wanachafukwa na tabia mbaya za dada zetu. ila wanyooshe wakae sawa tu. bora kupata singo maza wanalipa sana hawasumbui
 
lakini haujajibu swali
mkuu mleta mada jee ww umempata mwenza humu?.
 
Tupo wengi humu, ila nao wadada wamezidi bhana. Yani mkishakutana PM mkabadilisha Namba za simu na kuwasiliana kisha mkakutana ili mfahamiane Basi kama unajijua dume suluali nakwambia hapo umebugi,

Demu lazima akupige Ban na hapo ndio mwisho wa mawasiliano
 
naunga mkonyo hoja mia kwa mia ila wengi wanachafukwa na tabia mbaya za dada zetu. ila wanyooshe wakae sawa tu. bora kupata singo maza wanalipa sana hawasumbui
Cc
Mr.Heloo
 
naunga mkonyo hoja mia kwa mia ila wengi wanachafukwa na tabia mbaya za dada zetu. ila wanyooshe wakae sawa tu. bora kupata singo maza wanalipa sana hawasumbui
Aiseeee!
 
Back
Top Bottom