Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Nimepita kwenye mtandao mmoja na nikakutana na huyu bibi harusi ambaye alimkamia bwana harusi kumwonyesha kazi kwa maana ya kumdhalilisha ili kulipa kisasi kwa kutembea na wapenzi wake wengi huku akimchumbia yeye Hebu jisomee mwenyewe
[h=1]Jessie Wallace planned to dump fiance at the altar after sex text betrayal [/h]
sababu alizozitumia bibi harusi ni pamoja na:-
1) hasira baada ya kunasa taarifa za usaliti tajwa,
2) malipizi ya kuabishwa na wapenzi wa huyu mchumba wake..........
kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, jawabu hapo ni kuwa kama mambo yameshindikana...................kwanza Bi harusi alipaswa kumshukuru Muumba kwa kumfungua macho kungali mapema...................................yaani haya yangelimkuta baada ya kuoana na mwasherati yule ingelikuwa inauma zaidi................................lakini kwa wakati huo wa uchumba ni nusu ya shari ambayo ni nafuu kulikoni shari kamilifu...................waonaje hapo????????????