Mchumba anapokuonyesha shughuli nzito siku ya harusi............

Mchumba anapokuonyesha shughuli nzito siku ya harusi............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Nimepita kwenye mtandao mmoja na nikakutana na huyu bibi harusi ambaye alimkamia bwana harusi kumwonyesha kazi kwa maana ya kumdhalilisha ili kulipa kisasi kwa kutembea na wapenzi wake wengi huku akimchumbia yeye Hebu jisomee mwenyewe
[h=1]Jessie Wallace planned to dump fiance at the altar after sex text betrayal [/h]
sababu alizozitumia bibi harusi ni pamoja na:-

1) hasira baada ya kunasa taarifa za usaliti tajwa,

2) malipizi ya kuabishwa na wapenzi wa huyu mchumba wake..........

kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, jawabu hapo ni kuwa kama mambo yameshindikana...................kwanza Bi harusi alipaswa kumshukuru Muumba kwa kumfungua macho kungali mapema...................................yaani haya yangelimkuta baada ya kuoana na mwasherati yule ingelikuwa inauma zaidi................................lakini kwa wakati huo wa uchumba ni nusu ya shari ambayo ni nafuu kulikoni shari kamilifu...................waonaje hapo????????????

True Mkuu
Alifanya kosa kuja kuamua kufanya hayo
Alikuwa na kila sababu ya kumdump mapema kabisa na kurudisha hata pete yake na kumshukuru Mungu kw akumuepusha na mengi
Kama ni mzima na hajaambukizwa ugonjwa wowote ni sababu tosha ya kumshukuru Mungu wake na kuachana na huyo mwasherati
 
ni kweli kabisa..........
 
afadhali huko ulaya ambako hawachangii harusi, bongo wachangaji wanaweza kutoa mtu manundu,kha!

dawa hapo kila aliyechangisha mizawadi na mapesa ya watu itabidi awarudishie haraka iwezekanavyo bila ya visingizio vinginevyo kipigo au kushtakiwa polisi ni rukhsa...................................ingawaje kuchukua sheria mkononi nako..............................siyo swafi..........
 
mambo ya ajabu sana haya! Wonders will never end!
 
mambo mengine yanahitaji moyo..................
utaona ni bora kitu kupenda kisingekuwepo!!!!!!!!!!!
 
mambo mengine yanahitaji moyo..................
utaona ni bora kitu kupenda kisingekuwepo!!!!!!!!!!!

busara tupu humo.............
 
sielewi somo, nshabomoka tangu juzi... Hii ldd na ramadhan yake vinaisha lini? Maana duhhh, lm speachless

nimeona asubuhi wanafunzi wakielekea shule hii sherehe siyo kesho kweli?

Nimepitia magazeti naona kimya.......ingawje uhuru wameripoti polisi kanda ya Dar walikuwa wanatarajia yaanza sherehe leo.....................umebomolewa a nini......................Whimsy au Whisk?
 
Mkuu Ruta kuna mambo yanauma
imagine umepanga kunfunga ndoa na mpenzi wako na ukapata taarifa kuwa may be jana yake alikuwa kwa boyfriend wake wa zamani anaagana nae au ni kweli kuna mtu anakula kiutaratibu wakati wote mkiwa wachumba utajisikiaje
haya mambo ni magumu Ruta na ni kumuomba Mungu akupe mke ambaye anamjua Mungu na anahofu ya Mungu moyoni mwake maana kila siku utajikuta unaumia na kusononeka
Usione watu wanamalizia hasira zao bar ni kuwa wanakumbuka machungu ya nyumbani anaona bora alewe asahau akienda home analala mpaka kesho yake bila kujua ni nini kiliendelea usiku huo
 
alipata dhambi yeye mwenyewe maana huenda jaamaa alishatubu na kuachana na uzinzi hivyo kuamua kumuoa then analeta mapozi....tuombe yasitokee
 
Mapenzi kwa kweli yanaogopesha. Ila kuna wavumilivu wengine wameshindwa ona bwana wanafunga tu ndoa bali wameolewa.
 
Nimepita kwenye mtandao mmoja na nikakutana na huyu bibi harusi ambaye alimkamia bwana harusi kumwonyesha kazi kwa maana ya kumdhalilisha ili kulipa kisasi kwa kutembea na wapenzi wake wengi huku akimchumbia yeye Hebu jisomee mwenyewe
Jessie Wallace planned to dump fiance at the altar after sex text betrayal

sababu alizozitumia bibi harusi ni pamoja na:-

1) hasira baada ya kunasa taarifa za usaliti tajwa,

2) malipizi ya kuabishwa na wapenzi wa huyu mchumba wake..........

kwa mtazamo wangu wa haraka haraka, jawabu hapo ni kuwa kama mambo yameshindikana...................kwanza Bi harusi alipaswa kumshukuru Muumba kwa kumfungua macho kungali mapema...................................yaani haya yangelimkuta baada ya kuoana na mwasherati yule ingelikuwa inauma zaidi................................lakini kwa wakati huo wa uchumba ni nusu ya shari ambayo ni nafuu kulikoni shari kamilifu...................waonaje hapo????????????

Kwa wenzetu ni rahisi kupata data, huyu mama ashukuru Mungu wake kumuepusha na huyo nzinzi, anatakiwa kupima kwanza kuhakikisha yuko salama!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom