PoleAagh network inasumbua bhanaa.
Halafu unapenda kunichokoa sana
Ndiwooo
Pole
Mchumba mpe limbwata la Ruangwa atakusimesha mpaka PhD isiyo na thesis
Shukrani kama hukufanya tukio la ajabu.Kaka, hawa viumbe sio kwamba tunashindwa kufanya kama tulitoa sadaka. Tatizo kuu ni ile akishamaliza kupata hiyo Elimu ulomlipia, zinaanza Dharau, Masimango, Kejeli na Kauli ChefuChefu.
Kuna mmoja huyo nilikuwa namhudumia chakula, kuanzia chai mpaka usiku, anachotaka yeye, siku moja nikamuuliza Do I Deserve You, simply akanijibu NO! Nikasema fine.
Lkn wasiwasi ni ujinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna jamaa mmoja alisema "uoga akili" [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna ticha alinifundisha chemistry 4m4 enzi hizo, alimsomesha mdada mpaka kamaliza degree! Na picha liliisha mwalimu anaongea pekeyake mara kwa mara na baadhi ya vitu kashavisahau!
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo ticha saivi kama dishi limeyumba baada ya kuwekeza kwa mchumba?
[emoji16]Serikali yenyew haisomeshi bure bali inawakopesha mimi ni nan nikamsomeshe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bwahahahahaha
Aisee !! Very sad [emoji26]Kaka, hawa viumbe sio kwamba tunashindwa kufanya kama tulitoa sadaka. Tatizo kuu ni ile akishamaliza kupata hiyo Elimu ulomlipia, zinaanza Dharau, Masimango, Kejeli na Kauli ChefuChefu.
Kuna mmoja huyo nilikuwa namhudumia chakula, kuanzia chai mpaka usiku, anachotaka yeye, siku moja nikamuuliza Do I Deserve You, simply akanijibu NO! Nikasema fine.
Na msaada mzuri ambao hautagharimu wanaume maisha yetu ni chereani tuNimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii.
Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili (mwanamke na mwanaume).
Kwa mwanamke, jitahidi kulipa fadhila kwa anayejitoa kuku-support wakati wowote ule.
Kwa mwanaume, ukiwa unatoa support yeyote kwa mwanamke usitegemee mambo makubwa toka kwake. Fanya kama unatoa msaada tu.
Ni hayo tu kwa leo.
Nawasilisha.
Kichwa kichafu.
[emoji16]Limbwata tena
Msiwachoshe waganga hatusomeshi tushaamua
Nakazia [emoji419]Na msaada mzuri ambao hautagharimu wanaume maisha yetu ni chereani tu
Cha msing acha kuassume unatoa msaad na ach kabis matumiz mabov ya pesa kw mwanamke zaid ya mama ako tu utaish kw Aman sanMkuu, upo sahihi kabisa, hasa kwa upande wetu sisi wanaume. Ili usiumie sana, basi assume unatoa msaada tu kama vile ambavyo ungefanya kwa mwingine yoyote, otherwise utaumia bure.
Post nzuri sana hii mkuu![emoji122]
Na msaada mzuri ambao hautagharimu wanaume maisha yetu ni chereani tu