Mchumba anasomeshwa cherehani tu

Mchumba anasomeshwa cherehani tu

Life is shorter, uki plus stress became shortest.
Solution: Never fight your enemy in open field.
 
Kaka, hawa viumbe sio kwamba tunashindwa kufanya kama tulitoa sadaka. Tatizo kuu ni ile akishamaliza kupata hiyo Elimu ulomlipia, zinaanza Dharau, Masimango, Kejeli na Kauli ChefuChefu.

Kuna mmoja huyo nilikuwa namhudumia chakula, kuanzia chai mpaka usiku, anachotaka yeye, siku moja nikamuuliza Do I Deserve You, simply akanijibu NO! Nikasema fine.
 
Shukrani kama hukufanya tukio la ajabu.

Tenda wema uende hakuna kingine.
 
Kaka, hawa viumbe sio kwamba tunashindwa kufanya kama tulitoa sadaka. Tatizo kuu ni ile akishamaliza kupata hiyo Elimu ulomlipia, zinaanza Dharau, Masimango, Kejeli na Kauli ChefuChefu.

Kuna mmoja huyo nilikuwa namhudumia chakula, kuanzia chai mpaka usiku, anachotaka yeye, siku moja nikamuuliza Do I Deserve You, simply akanijibu NO! Nikasema fine.
Aisee !! Very sad [emoji26]
 
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii.

Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili (mwanamke na mwanaume).

Kwa mwanamke, jitahidi kulipa fadhila kwa anayejitoa kuku-support wakati wowote ule.

Kwa mwanaume, ukiwa unatoa support yeyote kwa mwanamke usitegemee mambo makubwa toka kwake. Fanya kama unatoa msaada tu.

Ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.

Kichwa kichafu.
Na msaada mzuri ambao hautagharimu wanaume maisha yetu ni chereani tu
 
Mkuu, upo sahihi kabisa, hasa kwa upande wetu sisi wanaume. Ili usiumie sana, basi assume unatoa msaada tu kama vile ambavyo ungefanya kwa mwingine yoyote, otherwise utaumia bure.

Post nzuri sana hii mkuu![emoji122]
Cha msing acha kuassume unatoa msaad na ach kabis matumiz mabov ya pesa kw mwanamke zaid ya mama ako tu utaish kw Aman san
 
Back
Top Bottom