Mchumba anatafutwa (binti)

Mchumba anatafutwa (binti)

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
3,461
Reaction score
2,273
Mimi huyu hapa
beetlejuicecopyau9.jpg
 
Uko wapi Besti
Hahahahaaa!
Upewe nini uache kulialia?
 
Last edited by a moderator:
yan wewe unatafuta hela wala si mchumba
Kweli wewe Miss Chagga.... kwa kua umesikia doctor au?
Na una hakika gani kama hizo hela unazosema sina? haha dada usiwe unamjudge mtu fasta hivo, utaumia moja kila mtu ana lifestyle tofauti.
 
Kweli wewe Miss Chagga.... kwa kua umesikia doctor au?
Na una hakika gani kama hizo hela unazosema sina? haha dada usiwe unamjudge mtu fasta hivo, utaumia moja kila mtu ana lifestyle tofauti.

ha ha ha ha ha okey sorry :smile-big: usijali utapata mchumba.
 
Nilipost hii kitu ili ufurahi, je umefurahi?
Nshakwambia mimi JF humu nayempenda ni moja tu, hakuna zaidi yako

kumbe unaye unayempenda unatuchanganya tu huku wengine hizi ndo opportunity za kupata wenzi we namna gani ndo maana me na wasi wasi,...
 
Sasa kwa kua wasichana wa bongo siku hizi wamezidi conditions kwenye kutafuta mwanaume then kama wanaume pia tuna conditions zetu. Nami nina uhuru wa kusema conditions zangu za binti ninayemtafuta hili ni jukwaa la mahusiano so kama unaona inakukera nenda kasome au kafanye kazi ujenge taifa.
Binti ninayemtafuta awe na sifa zifuatazo,
1. Awe ni doctor au anasoma medicine kwenye vyuo MUHAS, KCMC au vyuo nje ya Africa ila akitaje kabla nikiangalie rank yake.
2. Miaka kati ya 20-25.
3. Anajua kuongea kingereza vizuri.
4. Anamuogopa Mungu yaani achukie dhambi.

Mimi huyu hapa
View attachment 117714

naogopa mwonekano wako wameno
 
vigezo vyote nnavyo,kaz kwako
 
hahahah,sasa kwanin hali ya mapigo ya moyo inakukuta mgonjwa!!!sikujua kama ii coz nnayosoma dili kiasi hichi,nway i can be your personal doctor
 
Back
Top Bottom