Morg
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 1,301
- 1,788
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yani wakati serikali inatumia gharama kubwa kuchimba gesi huko madimba mnazi bay we kumbe una mgodi wako ndani na umekaa kimya tu haha, ila mkuu hiyo ni dalili humlishi vizuri huyo mchumba ako au labda hanywi maji ya kutosha.
watu washatoboa zizi hapo
😂 😂 😂 😂 😂Watu washatoboa zizi hapo
yaani karibu kila siku kiukweli.......ingawa kwa kiasi kikubwa eneo tulilopo vyakula ni vya aina mojaLabda ana tatizo la kujaa gas tumboni na kujamba kwake ni kila siku ama? kama si kila siku inawezekana ni siku anazokuwa amekula vitu vyenye gas
bado, kwakuwa sikuwahi kumsikia akilalamika maumivu ya tumbo basi wazo la kumpeleka hospitali halikuwepo. mchana naona kama hali inakuwa tulivu, hata hivyo hatuwi karibu sana mchana sababu ya mihangaiko!Alishaenda hospital?
Mchana hali ikoje?