Msamehe kisha chukuwa hatua, peleka posa kwao ili uhalalishe kabisa kuwa ni wako peke yako.
Unamshauri mwenzio kujidumbikiza ndani ya moto mchana kweupee!!! Posa my ass!!!
Sasa mtu hata kuchumbia ajachumbia mawivu kibao, si bora kupeleka posa kabisa ili tujuwe moja kuwa ni mali zake.Unamshauri mwenzio kujidumbikiza ndani ya moto mchana kweupee!!! Posa my ass!!!
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
Inategemea una "kifua' kiasi gani...maana utakutana nayo sana hapo mbeleni. Ingekuwa mimi ningemshukuru Mungu kwa ufunuo huo.....halafu mitini.....
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
hao wili ni hao uliowagundua je wale ambao huwajui,kama ni tamaa kwa nini alale na wawili?kwa nini apunguze mawasiliano hadi upate shaka?hakupendi anataka tu umuoe achana nae.nilivyo mwaminifu cjui kwa nini na mimi naangua kwenye majamvi kama wewe,
miezi mi5 watu wawili,inamana katikamiezi 15 atakua na wanaume 6 wapya.
Pia sikumbuki ni kitabu gani na mstari gani katika bible,but let me paraphrase;'kizazi hiki kimelaaniwa,mtaoa wanawake wenye kulala na waume wengi'!.Kwa hiyo hatuna ujanja,acha ile kwetu....tatizo ni kwamba, katika hiki kizazi kipya, 'wachumba' wengi wa sasa hasa mijini ndivyo walivyo!