Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Piga moyo konde utashinda hii vita lakini wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu...........
 
Pole sana chichi!
Jambo hilo laumiza sana na tena linahitaji busara sana kufanya maamuzi.
Kumtambulisha mchumba wako haitoshi kukufanya utegemee kuwa hana watu wengine
wanao mega hilo tunda. Na kama u mtu wa mungu huenda umekuwa ukiliweka jambo hilo ktk
maombi yako, sasa basi hayo yawezekana ni majibu tu, mungu ameamua kukuonesha. Ukilazimisha kuendelea naye basi hata
ukisha mwoa hatashindwa kukusaliti.
 
Unamshauri mwenzio kujidumbikiza ndani ya moto mchana kweupee!!! Posa my ass!!!

hahahaha hivi umetoka kutangaza nia Masaki ..majibu yako mgogoro watu wanasameheana bwana ila hatuna hakika kama alimegwa au lah.
 
Sasa ndugu yangu unasema umemsamehe yeye amegombana na hao waliommega? Kama hawajagombana mazee ujue utaendelea kufanywa babu jinga siku zote
 
Unamshauri mwenzio kujidumbikiza ndani ya moto mchana kweupee!!! Posa my ass!!!
Sasa mtu hata kuchumbia ajachumbia mawivu kibao, si bora kupeleka posa kabisa ili tujuwe moja kuwa ni mali zake.
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".

Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...

Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...

Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....

Nisaidieni wajameni...

Vipi unaendelea na huyu mwanamke?
 
Mzee umenena jambo la ukweli maana huko mbeleni namuonea sana huruma

Inategemea una "kifua' kiasi gani...maana utakutana nayo sana hapo mbeleni. Ingekuwa mimi ningemshukuru Mungu kwa ufunuo huo.....halafu mitini.....
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".

Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...

Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...

Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....

Nisaidieni wajameni...

Huyo kicheche kaka, miezi mitano kamegwa na wawili? kimeo...bwaga!
 
miezi mi5 watu wawili,inamana katikamiezi 15 atakua na wanaume 6 wapya.
 
hao wili ni hao uliowagundua je wale ambao huwajui,kama ni tamaa kwa nini alale na wawili?kwa nini apunguze mawasiliano hadi upate shaka?hakupendi anataka tu umuoe achana nae.nilivyo mwaminifu cjui kwa nini na mimi naangua kwenye majamvi kama wewe,
 
Unataka dalili gani ili ujue bint hajatulia? Miezi mitano wanaume wawili je mwaka?
 
si rahisi kwa mtu mnyonge kusamehe,kwani kusamehe ni sifa kuu ya wenye nguvu,umechukua uamzi wa busara sana chukua mchumba wako fanya taratibu za ndoa umuoe kabisa,MUNGU ayabariki maisha yenu.
 
Kaa ukijua kwamba ni wendawazimu kupanda meli iliyotoboka huku ukijua kwamba imetoboka alafu ukajifariji kufika salama.
 
Kizuri kula na wenzio. Pole mwaya. Kama umemsamehe kweli, sahau kabisa na endelea nae.
 
Neno la mungu lina sema, mwanaume usipo tii, mwanamke wako atalala na mwanaume mwingine kwa kitanda chako. Kuna wakati unafika inabidi umshirikishe Mungu zaidi ya siku zote, Kazi kwako, msikilize mungu au enenda kwa akili yako na sikiliza sauti ya moyo wako.
 
hao wili ni hao uliowagundua je wale ambao huwajui,kama ni tamaa kwa nini alale na wawili?kwa nini apunguze mawasiliano hadi upate shaka?hakupendi anataka tu umuoe achana nae.nilivyo mwaminifu cjui kwa nini na mimi naangua kwenye majamvi kama wewe,

Sb, kumbe na wewe unatatizo kama lake ooh pole. Basi issue imeisha ongeeni vizuri mmpotezee cheater.
 
Wajina pole sana ila mshukuru mungu umejua mapema.je bado una imani naye kiasi cha kuignore hizo feeling zako?ingekuwa miye ningesepa hata kama nimemtambulkisha home.ogopa sana mtu anaekuambia hajui kwann ametenda alichokitenda,ni rahisi sana kurudia kosa
 
...tatizo ni kwamba, katika hiki kizazi kipya, 'wachumba' wengi wa sasa hasa mijini ndivyo walivyo!
Pia sikumbuki ni kitabu gani na mstari gani katika bible,but let me paraphrase;'kizazi hiki kimelaaniwa,mtaoa wanawake wenye kulala na waume wengi'!.Kwa hiyo hatuna ujanja,acha ile kwetu.
 
Back
Top Bottom