Hiyo red, ni kizuizi kwangu mimi kuchangia chochote, maana huenda nikawa najaribu kufufua maiti....! Anyway, I wish you all the best...!Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...

Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
Last edited by Invisible; 26th June 2010 at 06:21 PM.
hii sredi ni ya zamani sana mwaka 2008 ila leo nimeisoma naona kama ya jana vile, haya mambo yapo kwenye jamii kila kukicha na hii mambo ya kuchapiana wachumba ilikuwa chuo kipindi hicho nasoma, una mdo demu wa rafiki yako wakati yeye hayupo na kwasababu unajua basi u dont ming hata akiwa anaongea na simu wakati we unapambana... lol UCHAFU uliokithiri...
wanamke wa jins hiyo unamsamehe vizuri tu alafu una m-dump huko... hiyo tabia hawezi acha kama anatembea na watu wa 3 ndani ya mwaka, wenye vipimo na madowido tofaut.. unategemea nini lol!!!!
Kaka anza......Hiyo ni tabia yake ndugu yangu,Wenzio tumeona hayo,na kama utamsamehe anaweza kujenga tabia ya kuondoa "uwezo wako wa kujiamini",na kila wakati ukajikuta mnyonge na hata lile utakaloona kwa macho ukadhani ni ndoto....Mapenzi ya sasa inabidi uwe muangalifu mno.Katika ktk hali hiyo,Zungumza nae na kila mtu ashike lake,Vinginevyo kila siku maisha yako yatakuwa ya wasiwasi.
Vipi unaendelea na huyu mwanamke?
Salaam na Pole sana Chichi,
Naomba uelewe mambo yafuatayo kwa ufasaha:-
Nawakilisha.
- Kumegwa au kumega nje ni ni kitu cha kawaida sana, na mkishafunga pingu za maisha inakuwa ni kawaida zaidi
- Kuhusu madhambi ya mahusiano hapo hakuna jipya ulilogundua kama unavyodai
- Huyu dada yupo honest, lakini ni vigumu kujua kuwa anakupenda au hakupendi, yaani anakwambia "ndiyo nimemegwa so what?" any way jaza mwenyewe Chichi
- Hao jamaa usiwalaumu na wao wamevutiwa sana na huyo dada, ambaye kwa ridhaa yake kabisa amewagawia kiburudisho bila kushinikizwa, hapo hakuna aliyevuja sheria.
- Mwenzi kumegwa au kumega nje haimanishi kuwa amnamchukia mwenzi wake