Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Angalia usike ji shoot sikumoja, five months 2 dudes looh! Unampenda? Mwenzio hakupendi.
 
Demu wako kicheche yani full mapepe atakupa stress badae temana nae, she iz not seattled 100% take care utapotea mjombaa! Ni hayo tuu.
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".

Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...

Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...

Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....

Nisaidieni wajameni...
Hiyo red, ni kizuizi kwangu mimi kuchangia chochote, maana huenda nikawa najaribu kufufua maiti....! Anyway, I wish you all the best...!
 
Code:
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa  anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue,  kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake  tena anaipumulia... 
 
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo  wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na  fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile  promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt,  zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu.... 
 
Nisaidieni wajameni...

Yaani penzi ni kuona chongo kuwa kengeza...yaani wewe kweli umependa vilivyo na hiyo ndoa yako ukiifunga itadumu sana...........umeshinda majaribu muhimu.....................well chukua mzigo wako kiujumla na kafaidi maisha mapya................ukiisha msamehe mwenzio maana yake ni kuwa unaangalia mbele na daima nyuma mwiko.........................huwezi tena kutafakari maji yaliyomwagika...........................................sasa chota maji mengine unywee...............na umalize kiu yako..............yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
mie nakushauri achana naye,,,,,,,,kibinadamu kama angeanzisha mahusiano na mtu mmoja ningesema kama binadamu wakati mwingine anashikwa na hamu sasa kama watu wawili ili hali ana mchumba kaka huo ni msalaba wa chuma &(you know what I mean?)mzigo mzito saaana katika maisha yako hutafika nao mbali nakushauri uutue mapema......vijana mjalibu kuchagua misalaba ya mbao mabox au hata mabua nadhani naeleweka hapa kuwa kila ndoa ina matatizo lakini yasiwe mazito kama mzsalaba wa chuma
 
Hivi inakuwaje unapendwa kiasi hiki halafu unajitoa akili namna hii, halafu wengi wanaofanya hivi ni wale wadada wapoleee! sijui wanawazaga nini
 
Mh!! Kazi unayo kaka! Miezi 5 kishamegwa na mijibaba 2. Mwenye maamz ni wewe c kazi ye2 ni kujenga c kubomoa.
 
Ukiamua kusamehe basi sahau ndio hapo masiha yatasonga mbele otherwise ukikumbuka kila wakati hapo hujasamehe and anything might take place.
 
ndani ya mwaka tu kamegwa na watu wawili....mh!! haitishi sana ila kwa sisi wataalamu wa mahesabu...it means ndani ya mwaka anaweka kumegwa na watu watatu including you!!

so kwa kutumia MAGAZIJUTO au BODMASI of ur life total life after marriage(ukimuoa nakadilia 50yrs to come)Inaonyesha kuwa
1year = 3 Cheats
50years= x? Cheats

Answer is 150 cheats!! mh sasa hii zidisha mara 3Guys Ndani ya mwaka!! ni sawa na 450 Guys!!

ok Kuanzia hapo nakuachia wewe kama utaamua kuishi Maisha yako na mwanadada ambaye atatembea na GUYS 450!! (HAPO HATUJAONGELEA ASSUMPITION KAMA JAMAA WALIKULA NA TIGO AU LA..MAANA VIJANA WA SIKU HIZI DOH!! KAMA UNATAKA NIKUPE MAHESABU YA HARAKA HARAKA NITAKUPA PIA KUUHUSU tIGO KAMA ALITOA AU LAH)

Pole bro tafuta LIFE achana na Huyo nyoka!!
 
Ubongo hauna mfuto au recycle bin,kwamba utafuta kumbukumbu. Chapa lapa azawaiz utajuta ukimuoa.
 
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".

Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...

Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...

Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....

Nisaidieni wajameni...

chichi sio kwamba natetea lahasha..........
Mi nachoona hapa kibaya kinachokuumiza ni wewe,
kufahamu kuwa ametembea na hao jamaa wawili,
na mbaya zaidi kwakuwa ametamka mwenyewe kutoka kinywani mwake,

Hapo kwakweli hakuna namna yakuzidi kuendelea kumkumbatia.................................

Lakini kwa upande wa pili, haya yanatokea sana tu,
lets imagine kuwa usingekuwa unayajua hayo yote?,
je si ungeendelea kuselebuka kwa raha zako na mwenzio?
Na hii hali kiukweli inawatokea wengi tu!
Tatizo hapa ni kuwa informed.................................
 
Nijuavyo mimi ukumuuliza mtu umesex na watu wangapi, jibu atakalokupa zidisha mara 10 (proved). Vizuri sana kwa kumsamehe, ila kamwe kwenye maisha yako usithubutu kusafiri.
 
Last edited by Invisible; 26th June 2010 at 06:21 PM.

hii sredi ni ya zamani sana mwaka 2008 ila leo nimeisoma naona kama ya jana vile, haya mambo yapo kwenye jamii kila kukicha na hii mambo ya kuchapiana wachumba ilikuwa chuo kipindi hicho nasoma, una mdo demu wa rafiki yako wakati yeye hayupo na kwasababu unajua basi u dont ming hata akiwa anaongea na simu wakati we unapambana... lol UCHAFU uliokithiri...

wanamke wa jins hiyo unamsamehe vizuri tu alafu una m-dump huko... hiyo tabia hawezi acha kama anatembea na watu wa 3 ndani ya mwaka, wenye vipimo na madowido tofaut.. unategemea nini lol!!!!
 
aloo! Nimechangia kichwa kichwa bila kusoma hata tarehe. Kumbe ni ya siku nyingi hivyo na pengine watu wanashauri waachane kumbe tayari ni wanandoa na pengine hata wana watoto.
 
Kaka anza......Hiyo ni tabia yake ndugu yangu,Wenzio tumeona hayo,na kama utamsamehe anaweza kujenga tabia ya kuondoa "uwezo wako wa kujiamini",na kila wakati ukajikuta mnyonge na hata lile utakaloona kwa macho ukadhani ni ndoto....Mapenzi ya sasa inabidi uwe muangalifu mno.Katika ktk hali hiyo,Zungumza nae na kila mtu ashike lake,Vinginevyo kila siku maisha yako yatakuwa ya wasiwasi.

Hapo kabisa umesema, a cheating spouse/bf/gf anapoteza uwezo wako wa kujiamini and it ver ver crucial hapo, unafikia wakati u loose ur identinty unaumia unaona aibu laikni upo tu, si tu kujiamini kunapotea kabisa unaanza kutembea na moyo wa mwenzio sijui simu ikiwa haipatikani hewani ww roho huku maumivu. Will never advice intertaining cheating spouse coz with my CPA,MBA, ADA kazi nzuri, a cheating spouse alinifanya nipoteze mwelekeo kabisa na i went from stress to depression! hatimaye alinionea huruma akaamua kuniacha a year after nilitambua the extent of damage I have done to myself by intertaining those nonsenses, I am ver strong girl bt nowdayz ver vulnerable every heartbroken inaniliza so man please let her go n take the other one for ur safety.
 
Tafsiri ya kusamehe ni kuyaacha yaliyopita na kusahau,kama huwezi ndugu yangu ni bora uache!Utajisababishia maradhi yanayotokana na hisia!Tafakari!
 
Salaam na Pole sana Chichi,
Naomba uelewe mambo yafuatayo kwa ufasaha:-

  1. Kumegwa au kumega nje ni ni kitu cha kawaida sana, na mkishafunga pingu za maisha inakuwa ni kawaida zaidi
  2. Kuhusu madhambi ya mahusiano hapo hakuna jipya ulilogundua kama unavyodai
  3. Huyu dada yupo honest, lakini ni vigumu kujua kuwa anakupenda au hakupendi, yaani anakwambia "ndiyo nimemegwa so what?" any way jaza mwenyewe Chichi
  4. Hao jamaa usiwalaumu na wao wamevutiwa sana na huyo dada, ambaye kwa ridhaa yake kabisa amewagawia kiburudisho bila kushinikizwa, hapo hakuna aliyevuja sheria.
  5. Mwenzi kumegwa au kumega nje haimanishi kuwa amnamchukia mwenzi wake
Nawakilisha.
 
Hivi mkuu maoni yako hapo juu yanaweza kumsadia kivipi Victim huyu wa hineous CRIME ya mchumba wake ambaye na suspect aliwahi kuwa sexually abuse in her childhood life. Wasichana/wanawake wakiowahi kuwa sexually abused wakiwa wadogo mara nyingi majibu yao yakuwaga hayo hayo ybni: Sijuhi kwa nini nilifanya ngono na jamaa, wakati mwingine atakwambia jamaa kanilazimisha mini nilikuwa simpendi! watasema lolote kutaka kuonewa huruma lakini ukweli wa mambo ni kwamba hao wasichana/wanawake ni WAGONJWA WA AKILI kuhusu mambo ya ngono unao sababishwa na past CHILDHOOD SEXUAL ABUSE walio fanyiwa hapo zamani , ni ugonjwa mbaya SANA ndiyo maana wenzetu Ulaya mtu akimu-abuse mtoto sexually anafungwa maisha.
 
Back
Top Bottom