Tanzanite1
Member
- Apr 17, 2010
- 23
- 0
two wrongs do not make a right hata siku moja,,kama ukiwaza na kuwazaua unaona hauwezi kumwamini tena anza mapema usipoteze muda zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unampenda endelea nae tu maana haya masuala ya kuanzisha relationship ndani ya relationship ni vijimambo vya kawaida tu sasa utaacha wangapi wakati almost wote ndio zao hizo??
Tena wewe uchumba, hata kwenye ndoa ukisikia nyumba ndogo unadhani ni nini? ndio relationship mpya ndani ya ndoa na unamfumania unatake eazy mnaendelea na maisha, take easy msamehe endelea na maisha yako ukitaka msafi utampata wapi ndugu yangu wote ndio wale wale!
Lakini kiukweli mambo ya confession tuwaachie wazungu, sie huku kwetu uki-confess umejichongea ndio tiketi ya kuhukumiwa!!!! hata hivyo pole sana
Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".
Baada ya hapo maisha yakatuweka mbali takribani miezi mitano, lakini tulikuwa tukiwasiliana mara kwa mara... Chako ni chako tu, nilianza kuhisi mabadiliko kwenye mawaasiliano yetu na hiyo iliniumiza kichwa sana, Mungu si athumani siku isiyokuwa na jina nikapata kalikizo, nikaamua ku pay a suprise visit huko kwao...mengi yakatokea lakini la muhimu niligundua kuwa mwenzangu alianzisha mahusiano yasiyo rasmi kama mawili, akakiri kuwa ni kweli amemegwa na hao washkaji kwa muda tofauti...
Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Amejuta sana na anadai haelewi kwa nini ali kwenda astray, nimepima moyo wangu nimeamua kumsamehe kwani bado nampenda lakini nashidwa kuishi na fact kwamba jamaa kadhaa baada yangu wamepita... Na nikifikilia zile promises alizokuwa ananipa kuwa ananipenda na kamwe hawezi kuni hurt, zinanifanya nimuone Muongo kwa kila kitu....
Nisaidieni wajameni...
Kaka,Iliniuma sana zaidi aliponiambia kuwa mmoja kati ya hao jamaa alikuwa anafahamu kuwa yeye ni mchumba wa mtu na wakala njama kuwa mimi nisijue, kumbe hata nilivyokuwa napiga simu au kutuma msg alikuwa na jamaa yake tena anaipumulia...
Isikupe taabu baba, Haya ni ya akina kurumbizi, changanya na yako. Dunia ya sasa huwezi kumpata wa peke yako. Habari ndiyo hiyo!
mtu akimmega demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee.hiyo haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiume.habari ndiyo hiyo.
hapo ndio tunapokosea,utakufa wewe anza mbele achana nae,nampenda,nampenda mapenzi bongo yaliisha siku nyiiiingi.Sijui hata nianzie wapi..... Ni takribani mwaka wa pili sasa nipo nae, na ni mwezi wa pili mwaka huu nilimtambulisha kwa wazazi wangu na ndugu kadhaa kuwa huyu ni "mchumba wangu mpendwa niliyependezwa nae".