Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
 
Unaachaje kumhudumia angali una-mahusiano naye,,so unategemea awe anakupa nyapu tu unachakata mihemko yako ikiisha ndo basi tena...brother hemu tusiwashushe thamani kiasi hiki wanawake.
 
Uzi umeishia hapa.
 
Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.
Kwani baba wa huyo mtoto ni hana hela au ni hasimamishi?
 
Vipi ukitaka huduma ya nyapu akupe bure? Au ndo kumgonga mpaka mfunge ndoa?
 
Halafu tukiomba nyapu tupewe tu au siyo? Tafuta hela brother mwanamke anahudumiwa vizuri sana.
Hapo utakuwa unanunua kama ambavyo unanunua Sinza. huo mtazamo wa kulipia ni potofu, maana tunaburudika wote, tena yeye ndiye atanafaidi zaidi maana wewe unatumia nguvu nyigi alafu unalipia tena. Bro unaona imekaa sawa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…