Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
 
Unaachaje kumhudumia angali una-mahusiano naye,,so unategemea awe anakupa nyapu tu unachakata mihemko yako ikiisha ndo basi tena...brother hemu tusiwashushe thamani kiasi hiki wanawake.
 
Kwakifup hakuna mwanamke atakupa uchi bila pesa.Hata kma atakataa mwanzon ila jua tu ni kama amewekeza na siki akitaka fahamu utatoa pamoja na interest rate flani.
Hivyo mwanaume jua unachosimamia.

Mfano hai.

Huyu manzi niko nae recently (mke wa mtu ila ana migogoro yao ya ndoa, mme wake hasimamishi) nilimla mara ya kwanza hii ni baada ya yeye kukaa bila kuliwa kwa miezi 11 sababu hio hapo jui.
Kwakua alikua na ukame nikamkata wote basi alifurahi sana na HAKUDAI PESA LICHA YA MIMI KUMPA AKAKATAA katakata.
Alikua anatoka Makambako anakuja Iringa town kufuata mzigo.

Mara ya pili nikamla mzigo tena kama masaa 6 hivi kesho akarud kwao nikampa hela tena akakataa basi nikaomba nilmkatie tu ticket ya kurud kwake.

Nikarud zangu dar kuendelea na maisha .Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.

Nikampa tu ushaur aende akazungumze na mkuu wa shule ataeleweka.Kwel akakubaliwa ila naona mazungumzo ya INVOICE YA 600K hayakauki.Nikaanza kujitoa taratibu.

Juz tumechat kidogo akanambia simu imedonoka kubadil screen elf 70😂😂😂 .

NADHANI NDIO TUNAELEKEA MWISHO MWISHO.

Kwakifupi hiz mambo za hela na mimi ni tofauti kabisaa
Uzi umeishia hapa.
 
Oohoh sasa juzi nikapigiwa simu shule zinafungua mtoto wake anahitaji ada 600,000/= na yeye hana maana alitegemea kupata kwenye biashara zake ila hali imekua sio hivyo mtoto hatapokelewa shuleni.
Kwani baba wa huyo mtoto ni hana hela au ni hasimamishi?
 
Mchumba anatakiwa kuhudumiwa na wazazi wake hadi siku utakapomtolea mahali.
Mwanaume anapaswa kuhudumia mke sio mchumba au rafiki wa kike.

Ni kosa baya kwa dada kuwa tegemezi kwa mwanaume ambaye hajakuoa.

Kama akiwa na shida msaidie kama ambayo ungemsaidia mtu wakwaida tu, wala usihusianishe na uchumba wako.

Hii kanuni ukiileewa itakusaidia sana
Vipi ukitaka huduma ya nyapu akupe bure? Au ndo kumgonga mpaka mfunge ndoa?
 
Halafu tukiomba nyapu tupewe tu au siyo? Tafuta hela brother mwanamke anahudumiwa vizuri sana.
Hapo utakuwa unanunua kama ambavyo unanunua Sinza. huo mtazamo wa kulipia ni potofu, maana tunaburudika wote, tena yeye ndiye atanafaidi zaidi maana wewe unatumia nguvu nyigi alafu unalipia tena. Bro unaona imekaa sawa hiyo
 
Back
Top Bottom