Mchumba hahudumiwi vijana

Mchumba hahudumiwi vijana

Guys acheni uzamani dunia inabadilika kwa kasi, kama una uwezo wa kumhudumia mpenz wako we fanya umfurahishe na yeye afungue moyo wake kwako. Kama itatokea mambo yakashindikana huko mbele ya safari basi hesabu tu umekula loss kama unavyopata hasara kwenye biashara au kupoteza pesa. Kama hauna uwezo usijiumize tafuta wa size ya uwezo wako umhudumie kwa uwezo kidogo huo huo ulionao lakini ukikalia kusema mchumba sijui mpenzi hahudumiwi kila siku tutawaona hawa dada zetu makatili kwa sababu tu ukishindwa kumsaidia na yeye kama binadamu mwenye mahitaji itabidi ajaribu kuwapa nafasi wengine ambao wako tayari kumsaidia, kwa sababu kukataa kumsaidia inatoa tafsiri kwamba wewe unamfaa wakati wa raha tu lakini shida zake hazikuhusu na hiyo ni kinyume kabisa na maana halisi ya upendo au mapenzi. Mfano mwanamke anaekustili na hamu zako anadaiwa kodi na unaona kabisa mipango yake imeenda ndivyo sivyo, usipomsaidia wewe akasaidiwe na nani? Na uwezo wa kumsaidia unao. Nadhani hapa kikubwa cha kujadili kiwe ni usiwekeze kwa mwanamke ambae akili yake huielewi, yani ambae anawaza tu kukukamua bila kuchangia chochote japo kimawazo ili kukuendeleza kiuchumi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa kuachwa, yaani mapenzi umeyafanya basic need. Kamwe usijilazimishe kitu ambacho logic ya kichwa hakikubaliani nacho, maana every idea you will make after the mistake has occurred you will doubt yourself. Unaogopa kuishi kizamani[emoji23][emoji23][emoji23], wakati huipendi modernization akilini, sasa unataka uige, yaani uwoga mwingine wa kijinga. Anyway labda unafikiri mwanamke ni basic need na huna choice in your life ingawa yeye anafanya choice in her life. Grow up, mwanamke wakukimbia atakimbia tu maana uchumi haujawahi kubaki constant maishani mwabinadamu, hivyo acha ushamba wa kuona mwanamke sijui ni nani, we muheshimu na mpe heshima yake ila kama si mke wako hizo obligations sizako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa kuachwa, yaani mapenzi umeyafanya basic need. Kamwe usijilazimishe kitu ambacho logic ya kichwa hakikubaliani nacho, maana every idea you will make after the mistake has occurred you will doubt yourself. Unaogopa kuishi kizamani[emoji23][emoji23][emoji23], wakati huipendi modernization akilini, sasa unataka uige, yaani uwoga mwingine wa kijinga. Anyway labda unafikiri mwanamke ni basic need na huna choice in your life ingawa yeye anafanya choice in her life. Grow up, mwanamke wakukimbia atakimbia tu maana uchumi haujawahi kubaki constant maishani mwabinadamu, hivyo acha ushamba wa kuona mwanamke sijui ni nani, we muheshimu na mpe heshima yake ila kama si mke wangu hizo obligations sizako.
Tafuta hela brother, ukiwa na pesa huwezi kupiga hizi kelele zote na viingereza fake fake badala yake utamsaidia mwenzio bila kuhisi maumivu, wanawake ni wenza wetu, wanatuliwaza, wanatushauri na zaidi wanatusitiri tukiwa na hamu zetu so ni lazima pia tuwajali na kuwahudumia, yani kweli nishindwe kumlipia mpenzi wangu kodi angalau ya mwaka na kumpa kausafiri hata ka million 7 tu eti ntaonekana naogopa kumpoteza, ni kwa sababu tu wabongo wengi wamekosa exposure ya mambo yanavyoendelea Duniani. Nimewashauri vijana wenzangu kama una uwezo msaidie mpenzi au mchumba wako kwa kama hauna uwezo tafuta wa size yako acheni uzamani. Sasa wewe chagua fungu lako, lakini kama unazo hela huwezi kupiga kelele hivi brother. So endelea kutafuta pesa
 
🤣🤣🤣 kwahiyo we ukajua sina pesa🤣🤣🤣 haya tajiri. Wenenda na exposure ya duniani mimi naenda na logic niliyopewa kichwani. Mwenza umemuoa au we girlfriend ndio mwenza, akili za vijiweni hizi. Nilitaka nimlaumu jamaa kule na uzi wake wa wanaume kutokujiamini ila this proves hizi point. Umefuata taratibu zote mpaka kumuita mwenza au casual relationship ndio mnaitana wenza😂😂😂. Ungekuwa unamjali ungemuoa sio kufanya hayo, kitu cha kwanza kinachoonesha kumjali huyo mwanamke ni kumfanya mke sio mpenzi, use common sense. Pili wewe unahudumia kwakuhofia kuwa atakukimbia as mentioned in your First point, that means huna options i.e. no wealthy tumia akili kijana. Ushaingizwa Disneyland nawewe😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa kuachwa, yaani mapenzi umeyafanya basic need. Kamwe usijilazimishe kitu ambacho logic ya kichwa hakikubaliani nacho, maana every idea you will make after the mistake has occurred you will doubt yourself. Unaogopa kuishi kizamani[emoji23][emoji23][emoji23], wakati huipendi modernization akilini, sasa unataka uige, yaani uwoga mwingine wa kijinga. Anyway labda unafikiri mwanamke ni basic need na huna choice in your life ingawa yeye anafanya choice in her life. Grow up, mwanamke wakukimbia atakimbia tu maana uchumi haujawahi kubaki constant maishani mwabinadamu, hivyo acha ushamba wa kuona mwanamke sijui ni nani, we muheshimu na mpe heshima yake ila kama si mke wako hizo obligations sizako.
Hawa ndio wanafanya wanawake wawe na viburi hata vya kutotaka kuolewa kwa tabia hizi.
 
wanaume mwenye mantiki ka hii hata hamu ya kuwasiliana nae sinaga daah😂😂😂😂😂😂😂
 
Hawa ndio wanafanya wanawake wawe na viburi hata vya kutotaka kuolewa kwa tabia hizi.
Siajiamini, yaani yeye anasema anazijua exposure za dunia[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani kaacha kutumia kichwa kufikiri anaiga exposure alizoziona. Seriously, kukimbiwa[emoji23][emoji23]. Mtu anashindwa kujijengea standards za maisha yake anahofia kumkosa mtu ambaye hujazaliwa naye na kibaya zaidi hujamuoa. Chakushangaza mwanamke ndio anazidi kukuigizia tu na kukudharau kimoyomoyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo we ukajua sina pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya tajiri. Wenenda na exposure ya duniani mimi naenda na logic niliyopewa kichwani. Mwenza umemuoa au we girlfriend ndio mwenza, akili za vijiweni hizi. Nilitaka nimlaumu jamaa kule na uzi wake wa wanaume kutokujiamini ila this proves hizi point. Umefuata taratibu zote mpaka kumuita mwenza au casual relationship ndio mnaitana wenza[emoji23][emoji23][emoji23]. Ungekuwa unamjali ungemuoa sio kufanya hayo, kitu cha kwanza kinachoonesha kumjali huyo mwanamke ni kumfanya mke sio mpenzi, use common sense. Pili wewe unahudumia kwakuhofia kuwa atakukimbia as mentioned in your First point, that means huna options i.e. no wealthy tumia akili kijana. Ushaingizwa Disneyland nawewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha brother narudia tena tafuta pesa, ukiwa nazo huwezi kulalamika namna hii. Mimi sijawahi kuogopa kupoteza mwanamke kwenye maisha yangu kwa sababu naweza kumpata mwanamke yoyote nnaemtaka, lakini najaribu kukuelewesha kuwa kumsaidia mwenzio kwa kumhudumia sio dhambi wala aibu mama unavyodhani ndio maana nikaweka angalizo kuwa lazima mtu mwenyewe awe anasaidika sio unaokota huko kiumbe aliyeshindikana halafu hakupi msaada wowote si wa mawazo wala ushauri. By the way mimi nina familia ya mke na watoto kadhaa. Lakini kabla ya kumuoa mke wangu nilimhudumia kwa 100% kama mpenzi na kisha mchumba wangu badae akawa mke wangu kabisa.
Sasa jamani kweli una mpenz anakushauri vizuri unazidi kukua kiuchumi, anakusaidia hadi kusimamia biashara zako bila kuonyesha tamaa wala uchu wa mali halafu ushindwe kumsaidia kweli? Na unaingiza mamilioni ya pesa kupitia mchango wake wa mawazo na kukusaidia kusimamia pia, Mimi ntakua wa mwisho kukubaliana na nyie unless nyie wenzangu mna tafsiri tofauti ya mpenz au wapenzi wenu sijui ni watu wa namna gani
 
Ndio maana nikakwambia bado hujiamini[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanza nikuwa unafikiri pesa ndiyo inayomfanya mtu kuhudumia, [emoji23][emoji23] walio single mums ambao hamuishi kuwatukana wengi wamezalishwa na watu wenye pesa ambao walijua watajenga nao maisha kumbe waliwaongopea. Pili, hujiamini katika point yako, unajua ulitaja nini kumtisha kijana wakiume kule kwenye point yako ya kwanza. Ngoja niirudie, kwamba mwanamke atamkimbiana kwenda kwa wengine, hili sindio ilikuwa utetezi wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sasa kumbe wewe ni muongo, kumbe wewe ni mnafiki na muongo, point uliyotumia kutisha vijana wenzako leo hii unasema wewe hiyo point haikutishi wala haifanyi kazi kwako, sasa kwanini uitumie hiyo point, kwaiyo umewadharau [emoji23][emoji23]. Tatu wewe unaniambia sina pesa mimi nakuangalia tu tajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hujishtukii kuwa unajichora kuwa that's the only point and exposure ya dunia uliyojifunza[emoji23][emoji23]. And lastly, sasaivi ndio unaelezea kitu kinachomfanya mwanaume amthamini na kumhudumia mwanamke ili uonekane kuwa mwenye busara huoni kwamba unachofanya ni unafiki wa kiwango. Ulishindwa nini kuyaelezea hayo mwanzoni mpaka umtishe kijana kana kwamba bila mwanamke hawezi ishi kisa atamkimbia. Tumia akili chief, sikila mtu ni mjinga. Kuhudumia kipindi cha mahusiano kabla ya ndoa ni chaguo ambalo huchagizwa na thamani ya mwanamke mwenyewe kama akili zilivyokurudi na kuelezea kwenye hio comment ya mwisho. Hivyo acha unafiki na kutishia vijana mwanamke ni ujinga sana. Use common sense
 
Hahaha Sawa brother mshindi wewe kwa maneno mengi lakini nasisitiza tafuta pesa mchumba anahudumiwa kama kawaida na wala malalamiko hayatakuwepo. Nadhani sasa tufunge huu mjadala tuwaachie wengine waendelee kutushibisha maarifa yao. Asante kwa mchango na ushauri wako Mkuu, jioni njema [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kama sina simpiii kama nnacho nampa lakini. ile ya sina afu nika pambane ukoo eti ili nmpee kisa asini one sina hiyo sinaaa
 
Hahaha Sawa brother mshindi wewe kwa maneno mengi lakini nasisitiza tafuta pesa mchumba anahudumiwa kama kawaida na wala malalamiko hayatakuwepo. Nadhani sasa tufunge huu mjadala tuwaachie wengine waendelee kutushibisha maarifa yao. Asante kwa mchango na ushauri wako Mkuu, jioni njema [emoji120][emoji120][emoji120]
Fresh chief ngoja tuufunge na mimi nitatafuta pesa[emoji23][emoji23][emoji23] hamna shida. Ila tumia busara na hekima kumtishia mtu hakumfanyi mtu aogope maisha vivyohivyo huwezi kumtishia kijana kwamba mwanamke atamkimbia ili amuhudumie. Thamani ya mwanamke kuhudumiwa kabla ya ndoa huchagizwa na value yake na chakushangaza mwisho ulizitaja hizo values, so hekima kwanza. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mwanamke haaminiki hata huduma baada ya ndoa ni kujipa moyo tu, labda kama ni wewe umeondoa usichana wake basi ni mke wako halali. Mme halali wa mwanamke ni yule aliyeondoa usichana wake.
Sa itakuwaje kwa sie tuliooa waliotumika tayari....?
 
Unahudumia mwanamke yupo kwa wazazi wake unagharamia we huoni kama unaibiwa? we huoni kama wewe ni mjinga?
Unauhakika gani huyo dem yupo na wewe peke yako usisahau gharama za kumuhudumia dem kwa mwaka atakuwa amekukula zaidi ya million 1
Kwani na ww si unamla?mpe hela au tafta kama huna
 
Back
Top Bottom