Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hataki kubeba mimba utapiga miti hadi uchoke, wana njia nyingi mno za kuzuia. Kanuni salama ni moja tu, USISOMESHEUnasomesha lakin unahakikisha anatokea ghetto kwenda chuo akiwa katikati uko unaweka mimba akisema anatoa unamwambia unajitoa,akikubali kubeba unalipa mahari maisha yaana anza
Kamsomesha mchumba mwisho wa siku kaachwaAnasemaje kwani? mimi simuelewi bwana. 🤣 🤣
pole kaka kwa joto ulilopataHii issue ikiwa haijawahi kukuta unaichukulia poa, ila ikikukuta lazima ukae hata uwe mwamba vipi.
Ilinichukua mwaka kurecover baada ya kupigwa ambush ya maana mshenzi yule, hakika aliniweza.
karma nini mkuu nashindwa kuelewa hili neno Junior counselKarma is real. Jamaa alinyang'anya mwanetu mmoja Huyo demu pale UD... Dem akawa anatokea apartment kalipiwa na suti bega. Jamaa kidogo ajil kill
Mchumba hasomeshwi, Bora ufuge mbuzi.@dronedrake Intelligent businessman
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe upo onlineMchumba hasomeshwi, Bora ufuge mbuzi.
Kumbe demu wa bagamoyoHuyo Chidy amekufa kaoza kwa miss Delights na ndio maana kapandisha post jana ya kumuomba msamaha bibie kwa maneno hayo aliyoyaandika Ig.
Amesema yupo tayari kwenda kumfata bibie kwa wazazi wake Bagamoyo ambapo ameenda baada ya ugomvi.
Wamesharudiana Mkaka hapindui hapo!!
Waache wapondwe pondwe,Mpaka kuandika shida
Pole yake
Kapigwa na kitu kizito sana
Asiumie sana, amesaidia kumtoa mtu ktk mnyororo wa Umaskini, He's glonal citizen ktk kuhakikisha UN-SDGs zinakuwa easily archieved.View attachment 2928489
---
Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika:
Wakati kakaangu @hajismanara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio sikuwahi kujua maana halisi ya waliosema mwanamke hasomeshwi.
Wala usikubali kuweka nguvu yako kwake nikawa kipofu nakuona wenzangu wana wivu na ndoa yangu kweli nimeamini SIKU MOJA MUNGU ATAJUA NILIPO KUTOA NA ULIPO FIKA NA ATANILIPIA ANGALAU KWA DUA NJEMA MUOMBEE MKEO AFANIKIWE UJUE KIBURI CHAKE ILA WAKATI YUKO CHUO UNAPAMBANA NAE MPAKA MUDA MWENGINE UNALIPA ADA ADABU YAKE UTASEMA NIMECHELEWA NINI KUFUNGA NDOA NAKUOMBEA IKAWE BIASHARA KUBWA KWAKO AMINA.
NAJUA KUNA KIPINDI UTAKUMBUKA ULIPO TOKA NA ULIPO KWA SASA NA NANI ALISABABISHA WW KUFIKA HAPO WANAO KUJUA WANAJUA NILIPOKUTOA NA WANAO NIJUA WANAJUA NILIVYO WEKA MUDA WANGU NA AKILI KWAKO ILI UFANIKIWE KIBRI NA KUTO KUSKILIZA IMEKUWA SHIDA KWA MUDA MREFU WALO TUZUNGUUKA WANAJUA KIBRI NJE YA MTANDAO
Hii imeenda, yeye ampige tu kipapai wakose wote.View attachment 2928489

Binafsi nikiona hivyo huwa naacha kusoma. Kwa hivyo,sijasomaHili janga la watu kushindwa kuandika vzr tunatengeneza kizazi cha aina gani huko mbeleni?
Hisia zikiwa nyingi kuandika nako kunapoteaHili janga la watu kushindwa kuandika vzr tunatengeneza kizazi cha aina gani huko mbeleni?
Hata cherehani asomeshwi mkuu. Mwanamke anatakiwa ajitesekee mwenyewe, hicho ndicho nilicho jifunza kwa hawa viumbe wapuuzi wasio na shukranMchumba anasomeshwa cherehani TU[emoji4]