Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

Huyo Chidy amekufa kaoza kwa miss Delights na ndio maana kapandisha post jana ya kumuomba msamaha bibie kwa maneno hayo aliyoyaandika Ig.
Amesema yupo tayari kwenda kumfata bibie kwa wazazi wake Bagamoyo ambapo ameenda baada ya ugomvi.

Wamesharudiana Mkaka hapindui hapo!!
 
Hii issue ikiwa haijawahi kukuta unaichukulia poa, ila ikikukuta lazima ukae hata uwe mwamba vipi.

Ilinichukua mwaka kurecover baada ya kupigwa ambush ya maana mshenzi yule, hakika aliniweza.
pole kaka kwa joto ulilopata
 
Huyo Chidy amekufa kaoza kwa miss Delights na ndio maana kapandisha post jana ya kumuomba msamaha bibie kwa maneno hayo aliyoyaandika Ig.
Amesema yupo tayari kwenda kumfata bibie kwa wazazi wake Bagamoyo ambapo ameenda baada ya ugomvi.

Wamesharudiana Mkaka hapindui hapo!!
Kumbe demu wa bagamoyo
Basiii tushapata jibu
 
View attachment 2928489
---
Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika:

Wakati kakaangu @hajismanara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio sikuwahi kujua maana halisi ya waliosema mwanamke hasomeshwi.

Wala usikubali kuweka nguvu yako kwake nikawa kipofu nakuona wenzangu wana wivu na ndoa yangu kweli nimeamini SIKU MOJA MUNGU ATAJUA NILIPO KUTOA NA ULIPO FIKA NA ATANILIPIA ANGALAU KWA DUA NJEMA MUOMBEE MKEO AFANIKIWE UJUE KIBURI CHAKE ILA WAKATI YUKO CHUO UNAPAMBANA NAE MPAKA MUDA MWENGINE UNALIPA ADA ADABU YAKE UTASEMA NIMECHELEWA NINI KUFUNGA NDOA NAKUOMBEA IKAWE BIASHARA KUBWA KWAKO AMINA.

NAJUA KUNA KIPINDI UTAKUMBUKA ULIPO TOKA NA ULIPO KWA SASA NA NANI ALISABABISHA WW KUFIKA HAPO WANAO KUJUA WANAJUA NILIPOKUTOA NA WANAO NIJUA WANAJUA NILIVYO WEKA MUDA WANGU NA AKILI KWAKO ILI UFANIKIWE KIBRI NA KUTO KUSKILIZA IMEKUWA SHIDA KWA MUDA MREFU WALO TUZUNGUUKA WANAJUA KIBRI NJE YA MTANDAO
Asiumie sana, amesaidia kumtoa mtu ktk mnyororo wa Umaskini, He's glonal citizen ktk kuhakikisha UN-SDGs zinakuwa easily archieved.

Atafute mwingine ASOMESHE tena😎😎
 
View attachment 2928489
---
Kupitia akaunti yake ya Instagram Sutibega_ anaandika:

Wakati kakaangu @hajismanara anatafuta mke sahihi nilikuwa sielewi kwani niliambiwa wanaake wengi hawajui kushukuru hawajui thamani ya mtu anejitoa na kupambana hakuna siku nimeumia kama leo nakutambua kumbe nilikuwa daraja la mafanikio sikuwahi kujua maana halisi ya waliosema mwanamke hasomeshwi.

Wala usikubali kuweka nguvu yako kwake nikawa kipofu nakuona wenzangu wana wivu na ndoa yangu kweli nimeamini SIKU MOJA MUNGU ATAJUA NILIPO KUTOA NA ULIPO FIKA NA ATANILIPIA ANGALAU KWA DUA NJEMA MUOMBEE MKEO AFANIKIWE UJUE KIBURI CHAKE ILA WAKATI YUKO CHUO UNAPAMBANA NAE MPAKA MUDA MWENGINE UNALIPA ADA ADABU YAKE UTASEMA NIMECHELEWA NINI KUFUNGA NDOA NAKUOMBEA IKAWE BIASHARA KUBWA KWAKO AMINA.

NAJUA KUNA KIPINDI UTAKUMBUKA ULIPO TOKA NA ULIPO KWA SASA NA NANI ALISABABISHA WW KUFIKA HAPO WANAO KUJUA WANAJUA NILIPOKUTOA NA WANAO NIJUA WANAJUA NILIVYO WEKA MUDA WANGU NA AKILI KWAKO ILI UFANIKIWE KIBRI NA KUTO KUSKILIZA IMEKUWA SHIDA KWA MUDA MREFU WALO TUZUNGUUKA WANAJUA KIBRI NJE YA MTANDAO
Hii imeenda, yeye ampige tu kipapai wakose wote.
 
Niliwahi somesha mwanamke chuo kiku kila huduma na toa kipindi cha nyuma, Yaliyonikuta sitakaa ni sahau maana majibu aliyonipa yule mwanamke yalikua hayana huruma yeyote ile
 
Back
Top Bottom