Mchumba hasomeshwi? Simulizi ya kutisha na kuumiza

Kila siku kwenye vikao tunasema mchumba hasomeshwi huyu pimbi anaishia gerezani sasa
 
Wazo fyatu: Hivi kwanini vikao ya wanaume kuishi kwa akili na wanawake yasiingizwe shuleni? 😁

Kuwe na vikao mashuleni na mavyuoni kila ijumaa, kupeana hints za kuishi na wachumba n.k. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…