Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Kwa ujinga huu uliojibu hapa,subiri ukue(kiakili) ndiyo ufikirie mipango ya kuoa.anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ujinga huu uliojibu hapa,subiri ukue(kiakili) ndiyo ufikirie mipango ya kuoa.anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Sasa unachukuaje dem asiye na shepu mkuu!?Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.