Mchumba kapoteza pete ya uchumba

Mchumba kapoteza pete ya uchumba

Au ilikuwa inalegea haitoshi kwenye kidole?
Ningekuwa mm baada ya kupotea ningenunua hata feki ya bei rahisi afu nivae ndo natoa taarifa.

Kama alikwambia Siku hiyo hiyo basi jumlisha na matendo yake mengine like mawasiliano, heshima kwako, ndugu zako ukiona vinaendana + yeye alivyo kwa sasa, anasikitika na kuitafuta ama? Kama haya yote kweli basi same he uoe. Nisiwe hakimu mbaya.
N.b kama anajua thanani ya hiyo Pete najua muda huu kashakonda anashinda anaitafuta, ila kama ka relax hiyo haijapotea ipo kwenye kabati la nguo. Kuna fala mmoja hataki amwone nayo.😂😂😂😂😂

Aiiiiiiiiiiiii maskini luckyline kidole changu😁😁😁😁😁😁

. Haya wadada wa Jf trh 1,1,2020 mlosema mwaka huu mtavalishwa Pete nyoosha mikono niwaone😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Yaani kupoteza pete tu ndio unachanganyikiwa?

Je angepoteza kifanyio chake, si tungekuzika wewe...
Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
 
Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Kuna mtu mnashea nae huo mzigo
 
Kwa jinsi nifahamuvyo wanawake waliovishwa pete ya uchumba jinsi wanaitunza na kuithamini naona kabisa hapo kwako kuna walakini?

Lakini tusihukumu, akuelezee mazingira lakini jiandae kiakili mapemaaa

"Ruzige"
Mimi ilipoteaga nlikuwa nkishika sabuni kama nanawa, naosha vyombo, inadondoka! Siku moja nikaipotezea hotelin 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 ata skumbuki ilidondokaje nimekuja kukumbuka asubui sasa nawaza kujieka smart na pete sina dah
 
Ila ROMA anaonekana ana maumivu kwene iyo nyimbo yake
 
Au atakua yule duchu manzi niliekua nae juzi lodge maana nae aliacha pete kitandani aliisahau nipe location labda umweleze aje achukue ni ya gold hivi ndogo ndogo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We naye una sarakasi so bila pete huwezi kuoa🤭
Halafu pete inapoteaje kidoleni? kaitupa au kauza! Nukta.
 
Stamina!! Hawa bwana wakipatiwa kwenye right angle verse zote zitaimbwa, ni waoga sana wa maumivu, ila wao wakiwa wanawaliza wanawake wanajiona viduuuuuumeeee sasa hivi kila pande keleleeee wanawake wanawake wanawake ndoa ndoa ndoa, waache u coward waoe, it’s survival for the fittest sijui urijali wao wanawekaga wapi
Awana lolote afu ukishawashika pabaya ni vilio tu
 
Back
Top Bottom