Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katakuwa kanavua ili kukwepa watu wasijue kama mchumba mtu
Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂😂😂 salamba hahahhaha hilo jina lilikufa 2019 nimekumiss zaidi upo??Madame Salamba. Nimekumiss siku nyingi kidogo.
Nipo Madame za wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] salamba hahahhaha hilo jina lilikufa 2019 nimekumiss zaidi upo??
nikuulize wewe me niko kule kuleeeeNipo Madame za wapi?
Hebu njoo PM kwanza.nikuulize wewe me niko kule kuleeee
Kwa jinsi wanawake wanazithamini pete za uchumba huyo atakuwa na yake tuUshauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Hicho kichwa nakisikiliza everyday na sizichoki nyimboUmenikumbusha Kalikawe
Jipange Mzee baba, uyo hayupo committed na huo uchumba Kuna kafisi kanakualibia utaratibu hapo, kanampa mapromise ya Uongo zaidi yako... Jitahidi Kuongeza Uongo ndani ya Wiki Pete itapatikanaUshauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,