Mchumba kapoteza pete ya uchumba

Mchumba kapoteza pete ya uchumba

Kwanini mnaogopa kumpa msela majibu ya kweli mbazunguka tu mbuyu?
Huna mchumba hapo baba jipange upya, huyu atakusumbua sana mbele ya safari kama ukilazimisha kuoa. Huyu mchunaji tu na kashakuona boya wake, ulimpokea vibaya na haya ni matokeo kabla hata mechi kuanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mtu hapo.Kuna njemba ishaanza kufanya yake.
 
Kama kapoteza Pete atashindwaje kusahau kukagua daftar za watoto
Au kufunga milango anapoondoka nyumbani
Ishara tosha
Waza hilo

kelphin kepph
 
Kawaida hiyo mwanadamu kupoteza!! Kuna baadhi wanazivua mfano wanapotaka kufua nguo, au kufanya shughuli nyingine za kutumia mikono, kama kulima, nk. Na hivyo, anaweza tu kui-misplace kama binadamu.

We mchukulie nyingine tu kwani shs ngapi kama unampenda? Yaani kwa lugha nyingine mambo madogo kama hayo kamwe usiruhusu yavuruge akili yako. Usidanganywe na movies, huku ni uswahilini, mambo ya kupoteza poteza ni ya kawaida.
 
Pete haina maana yoyote. Kama mnapendana endeleeni na hatua zinazofuata.
 
Hii nayo mada!!![emoji134][emoji134][emoji134]

Nunua nyingine mvishe kama unaona uchumba wenu ni pete.
 
Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
Jipange Mzee baba, uyo hayupo committed na huo uchumba Kuna kafisi kanakualibia utaratibu hapo, kanampa mapromise ya Uongo zaidi yako... Jitahidi Kuongeza Uongo ndani ya Wiki Pete itapatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini maana ya pete ya uchumba?! Ni utambulisho wa kuwa mwanamke stahiki aliyevaa hiyo pete ni booked na huwa haihitaji kuuliza coz it's on plain sight. Pete ya uchumba ni ishara ya uchaguzi wa mwanaume kati ya wanawake wooote aliowaona na atakaokuja kuwaona kuwa yule aliyemvisha ndie chaguo lake. Thamani ya kuvishwa pete ya uchumba ni kubwa sana( kwa tafsiri ile pete ni sawa na pendo lako na imani kwake). Hivyo pete huhitaji kutunzwa kwa uangalifu sanaaa.

Tuje kwenye inshu yako mtoa uzi, kuna maswali wadau wamekuuliza but naona upo kimya, ila tambua kuwa kama anakuthamini basi asingeipoteza hiyo pete na hata angeipoteza ni bora angetafuta mbadala mpaka mkioana ndipo atubu, hapo ndipo tunasema uongo wa faida ili kuepusha kuumizana. Amepoteza na kitendo cha kuja kukwambia direct mkuu ni lazima utafakari sana hili jambo na maamuzi utakayochukua usijeyajutia.

Don't hunt what you can't kill.
 
Back
Top Bottom