Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Yaani uwe na mtu alafu wewe umpangie awe moro, au aje kuona familia moro, na bado umesema mambo ya chumba kimoja sijui nini?
Hivi wanawake mlioingia 30 mnajielewa kweli
NB: umeielewa mpendwa?
mwanaume anaeshare chumba cha 40000 na marafiki zake 3 na zaidi huyo anaweza kulea,? samahani kama imekaa vibaya kwako kaa kimya.
 
Ewaaa! Tunachukua chumba pale hyatt tuncheki game zetu. Tunaenda zenji hotel verde na pia tutaenda nairobi pale two rivers tukacheki game pale kasarani kisirani.
Baada ya hapo narudi bongo kujiandaa na kifo changu
Mungu akuweke mkuu, tuendelee kulisongesha gurudumu... Ulisema tusitegeane sasa wewe wataka kufa ili ututegee sio🤣🤣🤣
 
Mungu akuweke mkuu, tuendelee kulisongesha gurudumu... Ulisema tusitegeane sasa wewe wataka kufa ili ututegee sio🤣🤣🤣
Hapana sio kukutegea mwanawane...miee nimezila sana sasa madhara yake ndio hayo so wacha nimalizie hii miaka miwili then niwaachie nyie muenseleze kurudumu la migegedo
 
NB: umeielewa mpendwa?
mwanaume anaeshare chumba cha 40000 na marafiki zake 3 na zaidi huyo anaweza kulea,? samahani kama imekaa vibaya kwako kaa kimya.
Mimi haijakaa vibaya kwangu uzuri mimi ni mwanaume, na nmetoka maisha hayo 7 fckn good years ago.
Ila hujielewi hilo tangazo kaweka Fb utapata si jf. Humu utashenyentwa uachwe.
Unataka mwandani alafu unataka afate familia moro.
 
Wanaume waoaji mkuje hapa, kuna fursa yenu adhimu.
NB: Kataa Ndoa hili haliwahusu, piteni km mnaaga maiti vile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Amesema hajali sana kuhusu ndoa yani mpaka mwanaume ndio afanye maamuzi.
Huyu anatufaa akina sisi wa sogea tukae
 
Chonde chonde! Kwenye kigezo chako namba 5, hakikisha mtu utakayempata siyo shabiki wa Simba! Hao jamaa dakika 0 tu wanaweka mpira kwapani. Gubu, kususa, kulalamika, ndiyo kumeangukia hapo. Hakikisha unamtafuta Mwananchi kama mimi.
 
Ah tena story nyingi tuu tutakuwa tunapiga pale motoni na ssir shetani. Nitakuwa namkumbusha yeye.." ebwana unakumbuka ile ulinishawishi nipige orgy kwenye private jet kutoka dubai to cape town" 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Sema we jamaa huwa napenda unavyotoa somo kwa vitendo la namna maisha ya social media yanavyotakiwa kuwa.
 
Usikoseka e basi kwenye mazishi yangu mwanawane.
Mkuu wote ni marehemu watarajiwa kwahiyo haina guarantee... Hiyo itabaki kuwa ni fumbo, wewe malizana na mrembo huyo uwowe ule maisha, hayo mengine wacha tuiachie asili ifanye kazi yake😂😂😂
 
Mh! kupata hii full package at 35+ my dear lazma awe mume wa ntu.

kila kheri ngoja nimalizie mkeka wangu .
 
Maandishi yako yanaonesha wewe ni mshari na una umimi,,,, alafu hujijui tayari jua la jioni ? Punguza vipengele watu tujitose kubeba bomu likalipuke mbele ya safari
Super woman.
 
Mlango wa pm umefungwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…