Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

Nipo hapa. Njoo
 
Umejieleza sana Afisa,inaonesha una uhitaji kwelikweli.

Ungekuwa Kanda ya titi huku ningejitosa mazima!
 
Kama haya maelezo yako yametoka moyoni basi atakayekidhi vigezo atakuwa na bahati. Kil la kheri.
 
Hili tangazoo la kifemist limekaa kimkakati sana .
Kuna mtu anaendaa kupigwa kitu kizito muda c mrefu.
 
Bado hujasema mama mpaka useme

Vigezo vikiondoka ukahitaji mume anayepumua tu niko pale utanijuza🤣🤣
 
hapo kwenye kumaliza ujana ndio sikuelewi mimi nikajua mwanaume ukisha kuwa mtu mzima ruksa kuowa kumbe mpaka kuna kumaliza ujana tena ?

Kwa nilivyo elewa neno "kumaliza ujana" ukipata mwanaume wa hivi utakuwa umejitikwa matatizo nakushauri tafuta mwanaume anayejitambua na asiye mzinzi wanaume walio maliza ujana ni wazinzi moja kwa moja lakini mwanaume anayejitambua aliyetunza ujana wake ndio chaguo sahihi.

Anyway kila la kheri mdada
 
Kwa asilimia kubwa nina sifa,ni vitu vidogo sana nakosa.Mungu nisaidie nipate mke huyu nimpende,nimjali,nimheshimu na tujenge familia
 
Mrembo, Beberu lenye sifa unazotaka ni heri uliumbe mwenyewe tu
 
Mwanaume kueleweka au kutoelweka hiyo Huwa hakuna anaejua sabbu Kuna kpretend kipind cha uchumba
Sali sana fanya manifestation toa sadaka Kwa wahitaji huku ukitaka niayako
Mungu atakupa aliyebora
 
Tatizo umeshazaa acha kiburi kwa kuwa una ajira mtafute baba wa mtoto muwalee watoto wenu katika maadili!
 
Kwa sisi tuliosoma kwa mzee Putin naona ajaye wako awe very flexible na kukuelewa sana ndio mtaishi, otherwise..
 
nawashukuru wote mliobeza na kunitukana kwa maneno machafu sizani kama nimeleta uzi wa ugomvi humu na matusi machafu wengi mmeuharibu uzi wangu kwa kuleta discussion zenu na hata hamjaishia hapo mkanitukana,, napenda niwaambie ambao hamjanielewa mkaishia kutukana na mizaha kuna maisha nje na kudinyana silazimishe watu wote wawe kama wewe ulietusi na mizaha, wapo walioelewa waka.kaa kimya na wengine wakanifata PM mjaribu kujisitiri sana maneno yenu yanaonesha uhalisia wa ubongo wako na levo yako kielimu, kiuchumi kimaadili na malezi uliyotoka....
 
Hayo masharti Sasa hata mganga wa kienyeji ana unafuu, unatamfuta mume unaweka vigezo kama vya usaili wa KAZI je ukiolewa SI utakuwa kama mkurugenzi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…