Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Daah watu wanakula kisamvu kibwana chaMuhenga wolper

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Mjomba umenivunja mbavu hapa. Nilikuwa nasoma huu uzi wako huku nakula! Basi nimecheka kidogo nijipalie. ..six pak wanatabu haswa.

Sent from my LG-V522 using JamiiForums mobile app
Pole sana Mkuu
 
Urembo unapimwa na nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mwanaume kuwa na muonekano wa kike kike ni mrembo. Mwanaume ukimwangalia tu utamjua.
 
Anyway...siwezi kusema sana. Ladies know better

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Sawa.sababu niko tofauti na wewe.ila mimi sio bendera fuata upepo.
uwa nahoji na kujiridhisha.sishikiwi akili kwa kufata mkumbo.hauwezi kumuita mtu shoga na mimi nikakimbilia kusapoti jamaa ni shoga nikiulizwa una ushahidi nitajibu nini?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Take it easy bro, relax men!

....Free ideas....
 
Duh hao hapana
Hahahahaha....nilikuwa nakujaribu, kweli pale hapana...Ila huu u celebrity naona watesa vijana kufa, wanaiga mpaka u bisexual?! Kweli bongo tambarare...
 
Sawa,kama una ushahidi jamaa anapumuliwa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona unapinga sana

Hivi mtu kama kaoge au james wale wanahitaji ushahidi wa kuwaona wakiwa wanapumuliwa ndo uamini kuwa ni mashoga?
 
Teh teh nilijua tu. Kwa muonekano wake hawezi kuwa mwanaume kamili. Mwanaume mrembo anipitie mbali kwa kweli..
Hata mimi nina sura mbaya baby

sent from my Makinikia 7 using jamiiForums mobile app
 
Mtaedit sana, I phone 7 unaitoa wapi wewe
Kuiandika mwenyewe haujui. "I phone" ndiyo nini sasa?
Stop panicking..

Sent from my IPhone 7 plus by using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona unapinga sana

Hivi mtu kama kaoge au james wale wanahitaji ushahidi wa kuwaona wakiwa wanapumuliwa ndo uamini kuwa ni mashoga?
Wale wanajipambua.waswas wangu mimi.kwenye hyo picha jamaa anaonekana yeye ni top.sasa kuna watu wanapinga,ndo hapo tunapojadiliana.wao wanasema jamaa ni shoga.ila sijatetea ushoga.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Teh teh nilijua tu. Kwa muonekano wake hawezi kuwa mwanaume kamili. Mwanaume mrembo anipitie mbali kwa kweli..
Mimi Nina sura ngumu karibu bidada

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Wale wanajipambua.waswas wangu mimi.kwenye hyo picha jamaa anaonekana yeye ni top.sasa kuna watu wanapinga,ndo hapo tunapojadiliana.wao wanasema jamaa ni shoga.ila sijatetea ushoga.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hao wote ni mashoga tu mkuu wala hakuna mwenye hufadhali hapo...hiyo ndo maana kamili ya jaza ujazwe
 
Sawa ni mtazamo wako.ila naamini hautanilazimisha niamini wote ni mashoga.labda nikuulize basha wao yupo wapi?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
huyo kaka ndio bwana hicho kikaka kingine nakifahamu ndio kishoga

TECNO-C5 Wereva
Bora wewe umeamua kusema ukweli.yaani watu wanapenda kufata mkumbo.hapo jamaa yeye ndo top mwenzie ni bottom.ukiniambia jamaa ni basha kwa picha hyo sintouliza.ila ukiniambia jamaa hapo yeye ni shoga nitakupinga.na wala sintakulazimisha ufate mawazo yangu.na ww usinilazimishe niamini unachoamini.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ni mtazamo wako.ila naamini hautanilazimisha niamini wote ni mashoga.labda nikuulize basha wao yupo wapi?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hahahaha we jamaa unachekesha sana, yaani unaniuliza mimi basha wao alipo kweli. Hivi kumtambua shoga inahitaji mpaka kumjua basha wake? Hao ni mashoga
 
Una uhakika gani kuwa ni mashoga?

Back
Top Bottom