Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Daah watu wanakula kisamvu kibwana chaMuhenga wolper
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana MkuuMjomba umenivunja mbavu hapa. Nilikuwa nasoma huu uzi wako huku nakula! Basi nimecheka kidogo nijipalie. ..six pak wanatabu haswa.
Sent from my LG-V522 using JamiiForums mobile app
Mwanaume kuwa na muonekano wa kike kike ni mrembo. Mwanaume ukimwangalia tu utamjua.Urembo unapimwa na nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Mkuu mshana vipi wenye kipele kwenye shavu la kule kwenye mzinga?Hivi huyu wolper ana kale kanyama?
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Anyway...siwezi kusema sana. Ladies know betterMwanaume kuwa na muonekano wa kike kike ni mrembo. Mwanaume ukimwangalia tu utamjua.
Take it easy bro, relax men!Sawa.sababu niko tofauti na wewe.ila mimi sio bendera fuata upepo.
uwa nahoji na kujiridhisha.sishikiwi akili kwa kufata mkumbo.hauwezi kumuita mtu shoga na mimi nikakimbilia kusapoti jamaa ni shoga nikiulizwa una ushahidi nitajibu nini?
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha....nilikuwa nakujaribu, kweli pale hapana...Ila huu u celebrity naona watesa vijana kufa, wanaiga mpaka u bisexual?! Kweli bongo tambarare...Duh hao hapana
Mkuu mbona unapinga sanaSawa,kama una ushahidi jamaa anapumuliwa.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nina sura mbaya babyTeh teh nilijua tu. Kwa muonekano wake hawezi kuwa mwanaume kamili. Mwanaume mrembo anipitie mbali kwa kweli..
Maasai wa wapi wewe?Naomba kuelimishwa jinzi ya kutumia JF
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona umeiba profile mchana kweupe?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Agiza bapa moja. Hapo mkuu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Kuiandika mwenyewe haujui. "I phone" ndiyo nini sasa?Mtaedit sana, I phone 7 unaitoa wapi wewe
Wale wanajipambua.waswas wangu mimi.kwenye hyo picha jamaa anaonekana yeye ni top.sasa kuna watu wanapinga,ndo hapo tunapojadiliana.wao wanasema jamaa ni shoga.ila sijatetea ushoga.Mkuu mbona unapinga sana
Hivi mtu kama kaoge au james wale wanahitaji ushahidi wa kuwaona wakiwa wanapumuliwa ndo uamini kuwa ni mashoga?
Mimi Nina sura ngumu karibu bidadaTeh teh nilijua tu. Kwa muonekano wake hawezi kuwa mwanaume kamili. Mwanaume mrembo anipitie mbali kwa kweli..
Hao wote ni mashoga tu mkuu wala hakuna mwenye hufadhali hapo...hiyo ndo maana kamili ya jaza ujazweWale wanajipambua.waswas wangu mimi.kwenye hyo picha jamaa anaonekana yeye ni top.sasa kuna watu wanapinga,ndo hapo tunapojadiliana.wao wanasema jamaa ni shoga.ila sijatetea ushoga.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Sawa ni mtazamo wako.ila naamini hautanilazimisha niamini wote ni mashoga.labda nikuulize basha wao yupo wapi?Hao wote ni mashoga tu mkuu wala hakuna mwenye hufadhali hapo...hiyo ndo maana kamili ya jaza ujazwe
Bora wewe umeamua kusema ukweli.yaani watu wanapenda kufata mkumbo.hapo jamaa yeye ndo top mwenzie ni bottom.ukiniambia jamaa ni basha kwa picha hyo sintouliza.ila ukiniambia jamaa hapo yeye ni shoga nitakupinga.na wala sintakulazimisha ufate mawazo yangu.na ww usinilazimishe niamini unachoamini.huyo kaka ndio bwana hicho kikaka kingine nakifahamu ndio kishoga
TECNO-C5 Wereva
Hahahaha we jamaa unachekesha sana, yaani unaniuliza mimi basha wao alipo kweli. Hivi kumtambua shoga inahitaji mpaka kumjua basha wake? Hao ni mashogaSawa ni mtazamo wako.ila naamini hautanilazimisha niamini wote ni mashoga.labda nikuulize basha wao yupo wapi?
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Una uhakika gani kuwa ni mashoga?Hahahaha we jamaa unachekesha sana, yaani unaniuliza mimi basha wao alipo kweli. Hivi kumtambua shoga inahitaji mpaka kumjua basha wake? Hao ni mashoga