Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Mchumba mpya wa Wolper achafua hali ya hewa

Nachukia mwanaume mzuri

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mimi ni huyo hapo katikati mwaya na ninakupenda![emoji116]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20170715_082926_414.jpg
    IMG_20170715_082926_414.jpg
    7.6 KB · Views: 25
Tatizo hawa wanaojiita mastaa, kumbe mastaa njaa mishipa yao ya kusoma alama za nyakati zimepata ganzi.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Dah Jamaa punga khaaaa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmmh nlipo muona tuu nilihis kitu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Majanga tu mwonekano wamtu na matendo tofauti kwa umri wa orper angekua na adabu asinge kua na mausiano na watoto wadogo ambao ata kwa umri kawazidi mbali but uwezi isemea nafusi ya mtu inatakaje kazi kwake acha ajidhalilishe tu na kiki ambazo azina faida

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
 
It seems jamaa ni bisexual. F*cks both men and women.
Anyways maisha yao hayatuhusu labda jamaa ni fundi
 
Kama una uhakika jamaa ni shoga.sina la kujibu.ila kumuhisi mtu kuwa ni shoga si jambo zuri na halipendezi.kama una uhakika sawa.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakuunga mkono....hakuna mwenye ushahidi wa kubainisha kuwa ni shoga.....waweke picha kuwa anafanyiwa huo mchezo ili tuamini

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Majanga tu mwonekano wamtu na matendo tofauti kwa umri wa orper angekua na adabu asinge kua na mausiano na watoto wadogo ambao ata kwa umri kawazidi mbali but uwezi isemea nafusi ya mtu inatakaje kazi kwake acha ajidhalilishe tu na kiki ambazo azina faida

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu,huwez kuisemea nafusi ya mtu
 
Back
Top Bottom